anold_sportsman

anold_sportsman Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from anold_sportsman, Sports Event, Pretoria.

Inawezekana kweli Chama alilizamishwa kusaini mkataba na Yanga ndio maana hajawahi kuonyesha kiwango bora akiwa na Yanga...
17/09/2026

Inawezekana kweli Chama alilizamishwa kusaini mkataba na Yanga ndio maana hajawahi kuonyesha kiwango bora akiwa na Yanga k**a ambacho anaonyesha akiwa na Simba πŸ˜„

YANGA YARUDI NBC PREMIER LEAGUE LEO β€” BAADA YA CAF, SASA GEITA GOLD!Je, Yanga itaendelea na mwendo wake wa ushindi au Ge...
15/09/2026

YANGA YARUDI NBC PREMIER LEAGUE LEO β€” BAADA YA CAF, SASA GEITA GOLD!

Je, Yanga itaendelea na mwendo wake wa ushindi au Geita Gold itafanya surprise? πŸ‘€

SIMBA YAKWENDA CHAMAZI KUVUNJA REKODI YA AZAM!Simba imeanza ligi kwa 100%, lakini Azam Complex imekuwa ngome ngumu sana....
15/09/2026

SIMBA YAKWENDA CHAMAZI KUVUNJA REKODI YA AZAM!

Simba imeanza ligi kwa 100%, lakini Azam Complex imekuwa ngome ngumu sana. πŸ‘€

Kesho nani anaondoka na pointi 3?

Mashabiki wa Simba wameondoa presha kwa Ibrahim Doumbia, ni moja ya kitu bora kabisa kuwahi kuwaona wakifanya kwa mcheza...
14/09/2026

Mashabiki wa Simba wameondoa presha kwa Ibrahim Doumbia, ni moja ya kitu bora kabisa kuwahi kuwaona wakifanya kwa mchezaji.

Kwa sasa anachohitaji ni kuonja ladha ya goli hajafunga bado tangu msimu mpya uanze rasmi, jana alihusika na goli la pili la Libasse Gueye lakini sasa ni wakati wa yeye kuwathibitisha vizuri mashabiki wa Simba ambao wanamuamini na wanamuunga mkono katika kipindi chake kigumu.

WHAT HAPPENED TO FEISAL SALUM? 😱 | EP 1 β€” KUTOKA NYOTA HADI HAPA!
31/08/2026

WHAT HAPPENED TO FEISAL SALUM? 😱 | EP 1 β€” KUTOKA NYOTA HADI HAPA!

Enjoy the videos and music you love, upload original content, and share it all with friends, family, and the world on YouTube.

-Yanga wakiuingia huu mtego wanaweza kupoteza mechi ya Community Shield...alichofanya Steve Barker ni ile code ya Sun Tz...
09/08/2026

-Yanga wakiuingia huu mtego wanaweza kupoteza mechi ya Community Shield...alichofanya Steve Barker ni ile code ya Sun Tzu kwenye Sanaa ya Vita aliyotusanua...Ukiwa na nguvu onesha udhaifu, ukiwa dhaifu piga mkwara mzito (β€œWhen you are strong, appear weak; when weak, appear strong.”) ndio maana uliwaona kina Mbegu sijui Semfuko pale nyuma wanamkaba Rupia.

Mwananchi akijichanganya akatumia nguvu nyingi kutaka kusawazisha makosa ya mwenzie anaweza kuchoka sana na kumbuka ana siku mbili tu za kupumzika ambazo ni jumatatu na jumanne...Jumatano ana mechi ngumu!

Usisahau, Simba watakuwa na faida ya siku 3 za kupumzika na kujiandaa huku nyota wake muhimu wakiwa hawajatumika sana leo!

Ukipata muda, Irudie game...Simba hawakuitaka kihivyo...Ni k**a ilivyokuwa kwa kina Jamus na Mogadishu halafu alipojipendekeza Sigida Black Stars wakampasua!

Huu ni mtego wananchi.

03/06/2026
21/05/2026

CLATOUS CHAMA RECORD MAKER AND BREAKER.

17/05/2026

DAMARO CAMARA SET TO RETURN SINGIDA BLACK STARS AFTER END OF SEASON.

Address

Pretoria

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when anold_sportsman posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category