Je ni kweli mwenye pesa na asiye na pesa kwenye mapenzi wote ni ..poyoyo..?
Ila hata mimi naamini kuwa adui wa nafsi siku zote ndo shujaa wa moyo..!
10/09/2014
Hahahahahaha.. Eti ma fans nimeshindwa kuamini japo kuwa mtoto wa mjini k**a mapenzi hayana kabila wala hayana dini
Eti mapenzi ni hisia na ndoto na kumuweka mtu moyoniii..?
08/09/2014
Mi nasikia sikia tyuuu eti niache michepuko na milupo ili nibaki njia kuuu. Hahahahaha.. kaa uelewe kuwa mpenzi wako akikuita special basi ujue kuna mtumba.. Uko poa fan wa mimi..?
14/08/2014
Chapa kazi jenga msondo ndio ngoma kwaito ni sauzi..! Niaje ma fans..?
Be the first to know and let us send you an email when Levi's danger posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.