La Costa lounge Tanga

La Costa lounge Tanga Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from La Costa lounge Tanga, Event, Tabata.

La Costa Pub & Lounge tunafungua ukurasa mpya wa starehe, usiku wa kucheza, kuimba, kufurahia maisha na kutengeneza memo...
28/04/2026

La Costa Pub & Lounge tunafungua ukurasa mpya wa starehe, usiku wa kucheza, kuimba, kufurahia maisha na kutengeneza memories zisizosahaulika. K**a unapenda vibe za ukweli, watu wa nguvu na burudani ya tofauti basi hii ni sehemu yako.

SINGELI SUTI imewasili rasmi! 🔥🔥
Jiandae kwa usiku wa kipekee utakaokusanya wapenzi wa burudani halisi, vibe za mtaani zenye hadhi ya kimataifa. Hapa ni mahali ambapo singeli ya moto, tarumbeta kali na vijora vitakutana kuleta energy ambayo hujawahi kuiona.

📍 Tabata Segerea Shell (Oilcom) Seminary Rd
đź“… 30.05.2026
đź•› Kuanzia Saa 12 Jioni Mpaka Baadae Sana
LOCAL LAKINI GLOBAL 🌍
Ukikosa hii event, utabaki unasimuliwa. Fika mapema, vaa fresh, leta squad yako na uje ushuhudie moto wa SINGELI SUTI. 🔥

26/04/2026

KARAOKE NA MTONYO..!!
🇹🇿

25/04/2026

MOTO NI MOTO EPISODE 02
KUANZIA SAA 8 MCHANA

24/04/2026

MOTO NI MOTO EPISODE 02.
26.APRIL.2026
KUANZIA SAA 10 JIONI

29 April tunawasha moto pale LA COSTA!K**a unaamini unaweza kuimudu stage, hii ndio nafasi yako kung’aa ✨Mashindano si y...
24/04/2026

29 April tunawasha moto pale LA COSTA!
K**a unaamini unaweza kuimudu stage, hii ndio nafasi yako kung’aa ✨
Mashindano si ya kawaida – ni KARAOKE COMPETITION ya ukweli!
🏆 150,000 TZS zinakusubiri… swali ni, utaichukua au utaishangaa?
Hosted by ALLEN SOUL – vibes, energy na burudani full package 💯
Usikose… usikubali kuambiwa!

La Costa Pub & Lounge Introduce to You TUTALALA KESHOAmbapo Vibe Linanzaa Mapema Saa 11 Jioni Mpaka Kesho Saa 11 Alfajir...
24/04/2026

La Costa Pub & Lounge Introduce to You TUTALALA KESHO
Ambapo Vibe Linanzaa Mapema Saa 11 Jioni Mpaka Kesho Saa 11 Alfajiri, Kwahiyo Mwambie Rafiki yako Amwambie Rafiki yake Kuwa Tarehe 25.APR.2026 Jumamosi Hii Asikose Siku hii ya Kihistoria Burudani Nzima Itasimamiwa na PRO24DJZ

Jumapili Hii ni MOTO NI MOTO Episode 02Kuanzia saa Mchana Untill Very LateFeat. Zitalia Piano Zote Just Do not Plan To M...
23/04/2026

Jumapili Hii ni MOTO NI MOTO Episode 02
Kuanzia saa Mchana Untill Very Late
Feat. Zitalia Piano Zote Just Do not Plan To Miss It.

22/04/2026

KARAOKE NIGHT with
Every Wednesday

Je Ungependa Kuwa Mmoja wa Team Ya La CostaCall Us Now. 0624 092 008
21/04/2026

Je Ungependa Kuwa Mmoja wa Team Ya La Costa
Call Us Now. 0624 092 008

“MIC NI YAKO, STAGE NI YETU 🎤✨Karaoke Night imewashwa La Costa!Njoo utoe sauti yako, vibe zako, na usiku uwe wako 🔥Kila ...
20/04/2026

“MIC NI YAKO, STAGE NI YETU 🎤✨
Karaoke Night imewashwa La Costa!
Njoo utoe sauti yako, vibe zako, na usiku uwe wako 🔥
Kila Jumatano – hakuna excuse!
HOSTED BY THE ONE AND ONLY

”

20/04/2026
Party People
20/04/2026

Party People

Address

Tabata

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when La Costa lounge Tanga posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category