Swax Sport News

Swax Sport News Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Swax Sport News, Sports Event, Sumbawanga.

Mrisho Ngassa Haaga Yanga Kwa Heri Ankoo mwamba wa ziwa Victoria...
03/08/2020

Mrisho Ngassa Haaga Yanga Kwa Heri Ankoo mwamba wa ziwa Victoria...

K**ati Ya Nidhamu Ya Tff Imemfungia Aliyekuwa Kocha Wa Yanga Luc Eymael Miaka Miwili (2) Na Kumtoza Faini Ya Shilingi Mi...
03/08/2020

K**ati Ya Nidhamu Ya Tff Imemfungia Aliyekuwa Kocha Wa Yanga Luc Eymael Miaka Miwili (2) Na Kumtoza Faini Ya Shilingi Milioni Nane (Tsh. 8,000,000) Kwa Kosa La Uchochezi Na Ubaguzi.

K**a baba, k**a mwana? 👀 Manchester United Wana Uzito Wa Mshtuko Kwa Kasper Schmeichel Kuchukua Nafasi Ya David De Gea K...
03/08/2020

K**a baba, k**a mwana? 👀

Manchester United Wana Uzito Wa Mshtuko Kwa Kasper Schmeichel Kuchukua Nafasi Ya David De Gea K**a No 1 Msimu Ujao..

Ciro Immobile ndiye mshindi wa European Golden Shoe 2019/20..
03/08/2020

Ciro Immobile ndiye mshindi wa European Golden Shoe 2019/20..

Beki kisiki, Bakari Nondo Mwamnyeto amejiunga na kikosi cha Timu ya Yanga kwa kandarasi ya miaka miwili akitokea Coastal...
02/08/2020

Beki kisiki, Bakari Nondo Mwamnyeto amejiunga na kikosi cha Timu ya Yanga kwa kandarasi ya miaka miwili akitokea Coastal Union... @ Sumbawanga

Waziri Jr ametua kwa WANANCHI...Waziri Jr msimu huu wa Ligi Kuu amemaliza akiwa amefunga magoli 13 na kutoa assists 3 ak...
02/08/2020

Waziri Jr ametua kwa WANANCHI...
Waziri Jr msimu huu wa Ligi Kuu amemaliza akiwa amefunga magoli 13 na kutoa assists 3 akiwa na Mbao FC ambayo imeshuka daraja... @ Sumbawanga

02/08/2020

Simba sport Club wakisheherekea Ubingwa wao Leo Mkoani Rukwa,Sumbawanga

Simba kushinda Kombe la TFF (Azam Sports Federation Cup) 2019/20 na leo safari imehitimishwa baada ya kukabidhiwa kombe ...
02/08/2020

Simba kushinda Kombe la TFF (Azam Sports Federation Cup) 2019/20 na leo safari imehitimishwa baada ya kukabidhiwa kombe hilo na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Juliana Shonza.
FAINALI
Namungo FC 1-2 Simba

Address

Sumbawanga

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Swax Sport News posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category