rabii_ramadhani

rabii_ramadhani Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from rabii_ramadhani, Sports Event, Singida.

🚨 π„π—π‚π‹π”π’πˆπ•π„: Manchester United sasa wanakaribia kumsajili Matheus Cunha! πŸ”΄πŸ‡§πŸ‡·Mbrazil huyo amekubali mradi huo kwani makub...
19/05/2025

🚨 π„π—π‚π‹π”π’πˆπ•π„: Manchester United sasa wanakaribia kumsajili Matheus Cunha! πŸ”΄πŸ‡§πŸ‡·

Mbrazil huyo amekubali mradi huo kwani makubaliano ya masharti ya kibinafsi sasa yanakamilika, deal

🚨 𝗛𝗔𝗕𝗔π—₯π—œ 𝗠𝗣𝗬𝗔: Manchester United haitamfuta kazi Ruben Amorim hata wakipoteza fainali ya Europa League dhidi ya Tottenha...
18/05/2025

🚨 𝗛𝗔𝗕𝗔π—₯π—œ 𝗠𝗣𝗬𝗔: Manchester United haitamfuta kazi Ruben Amorim hata wakipoteza fainali ya Europa League dhidi ya Tottenham.

(Chanzo: Mirror Football)

Mtingo umesansamala
28/09/2023

Mtingo umesansamala

Vijana washa rudi na mazoezi washaanza labda watakuja okoa jahazi maana duuu majeruhi yametuandama sana huu msimu
22/09/2023

Vijana washa rudi na mazoezi washaanza labda watakuja okoa jahazi maana duuu majeruhi yametuandama sana huu msimu

Maandalizi ya kesho arsenal Bora wa kimbie tu
02/09/2023

Maandalizi ya kesho arsenal Bora wa kimbie tu

Hicho kula chuma icho
02/09/2023

Hicho kula chuma icho

Usajili wa msimu huu umeisha k**a hivi  BAYINDIR goal keeper mkataba wa kudumu  AMRABAT kwa mkopo wenye kipengere Cha ku...
02/09/2023

Usajili wa msimu huu umeisha k**a hivi BAYINDIR goal keeper mkataba wa kudumu AMRABAT kwa mkopo wenye kipengere Cha kumnunua 2024 REGUILON mkopo wa msimu mmoja ambao hauna kipengere Cha manunuzi

West Ham wamefikia makubaliano kimsingi na Manchester United kwa ajili ya Harry Maguire kwa ada ya Β£30m πŸš¨βš’οΈMakubaliano y...
09/08/2023

West Ham wamefikia makubaliano kimsingi na Manchester United kwa ajili ya Harry Maguire kwa ada ya Β£30m πŸš¨βš’οΈ

Makubaliano ya maneno yanaweza kufikiwa mwisho, mambo muhimu juu ya muundo wa makubaliano ambayo bado yanajadiliwa lakini ada iliyokubaliwa sasa, k**a ilivyo kwa Sky.

Masharti ya kibinafsi, yatajadiliwa hivi karibuni.

West ham ameenda na Β£30m ikumbukwe Manchester united kwa Maguire wanahtaji Β£50m
07/08/2023

West ham ameenda na Β£30m ikumbukwe Manchester united kwa Maguire wanahtaji Β£50m

Ndani ya masaa 24_48 hojlund atakuwa ni mchezaji halali wa Manchester united
30/07/2023

Ndani ya masaa 24_48 hojlund atakuwa ni mchezaji halali wa Manchester united

Makubaliano ya malizika kati ya hojlund na Man United kilicho bakia ni Kutuma ofa Atalanta kijana awe mwekundu
18/07/2023

Makubaliano ya malizika kati ya hojlund na Man United kilicho bakia ni Kutuma ofa Atalanta kijana awe mwekundu

Ukuta mpya United utatangazwa hapo kesho
18/07/2023

Ukuta mpya United utatangazwa hapo kesho

Address

Singida

Telephone

+255766663789

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when rabii_ramadhani posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category