Mjay Sports Event

Mjay Sports Event Habari,Michezo,Burudani,Hadithi na Siasa ✓

Cedric Kaze-Kocha wa Yanga Africans Sport Club aanza kazi rasmi ndani ya Avic Town huko Kigamboni.
16/10/2020

Cedric Kaze-Kocha wa Yanga Africans Sport Club aanza kazi rasmi ndani ya Avic Town huko Kigamboni.

MjayUpdates,Msimamo wa VPL Baada ya Mechi za leo tarehe 19.09.2020✓Yanga SC inapanda kutoka nafasi ya sita hadi nafasi y...
19/09/2020

MjayUpdates,Msimamo wa VPL Baada ya Mechi za leo tarehe 19.09.2020✓
Yanga SC inapanda kutoka nafasi ya sita hadi nafasi ya kwanza na kuongoza Ligi✓

Msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2020/2021,ni baada ya mechi za ufunguzi za ligi msimu huu✓
08/09/2020

Msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2020/2021,ni baada ya mechi za ufunguzi za ligi msimu huu✓

Klabu ya Young Africans Sports Club yaleta Kocha mpya wa viungo,RIEDOH BERDIE. kuliongezea Nguvu Benchi jipya la ufundi ...
12/01/2020

Klabu ya Young Africans Sports Club yaleta Kocha mpya wa viungo,RIEDOH BERDIE. kuliongezea Nguvu Benchi jipya la ufundi chini ya kocha mpya LUC EYMAEL.


FIFA WOMEN WORLD QUALIFY U1734.Tanzania 3-0 Burundi U17Joyce Meshack⚽Asha Masaka⚽⚽
12/01/2020

FIFA WOMEN WORLD QUALIFY U17
34.
Tanzania 3-0 Burundi U17
Joyce Meshack⚽
Asha Masaka⚽⚽

January 4 2020,Kariakoo Derby Ni SAA 5:00 Jioni Uwanja wa Taifa(Kwa Mkapa)Utabiri wako uko kwa nani Young Africans Sport...
04/01/2020

January 4 2020,Kariakoo Derby
Ni SAA 5:00 Jioni
Uwanja wa Taifa(Kwa Mkapa)
Utabiri wako uko kwa nani Young Africans Sports Club Simba Sports Club Team 🇹🇿

Golikipa Mahili wa Timu ya Taifa na Klabu ya KMC (Wana KinoBoy)   Afanyiwa upasuaji wa Goti  baada ya kuwa Nje kwa muda.
28/12/2019

Golikipa Mahili wa Timu ya Taifa na Klabu ya KMC (Wana KinoBoy)
Afanyiwa upasuaji wa Goti baada ya kuwa Nje kwa muda.

  Daraja LA Kwanza,kuendelea leo katika viwanja Mbalimbali Nchini      Nani kuongoza Kundi A leo....
28/12/2019

Daraja LA Kwanza,kuendelea leo katika viwanja Mbalimbali Nchini
Nani kuongoza Kundi A leo....

Address

Shinyanga
1228SHINYANGA

Telephone

+255672403214

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mjay Sports Event posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category