Siha_Afyamarathon

Siha_Afyamarathon The aim of siha health marathon is to bring people who originally comes from siha together and
To keep their healthy fit��

Jisajili sasa 24th Dec
21/11/2024

Jisajili sasa 24th Dec

Je, Uko Tayari?Jiunge na jamii ya Siha Afya Marathon 2023 iliyo na watu zaidi ya 500+ wanaopenda kushiriki katika Marath...
13/11/2023

Je, Uko Tayari?

Jiunge na jamii ya Siha Afya Marathon 2023 iliyo na watu zaidi ya 500+ wanaopenda kushiriki katika Marathon hii 2023.

Usipoteze nafasi hii – Jiunge Sasa Bure!

👉 Bonyeza linki ya WhatsApp kujiunga:
https://chat.whatsapp.com/Ht8ZnarOoft4xAszzJSEVi

Siha Afya Marathon 2023 Kuwa Sehemu Ya Historia

Siha Marathon 2023 ni ya kibabe zaidi! Watu zaidi ya 500 kushiriki! Michezo na Zawadi za uhakika! Karibu ushiriki nasi t...
11/11/2023

Siha Marathon 2023 ni ya kibabe zaidi! Watu zaidi ya 500 kushiriki! Michezo na Zawadi za uhakika!

Karibu ushiriki nasi tarehe 24/12/2023

Zebras and wildebeests are two different species of animals that are commonly found in the grasslands and savannas of Af...
10/09/2023

Zebras and wildebeests are two different species of animals that are commonly found in the grasslands and savannas of Africa.

Zebras are known for their distinct black and white striped coat, which helps to confuse and deter predators. They live in large herds and generally prefer to graze on grass during the day. Zebras have a strong social structure within their herds and are known to communicate with each other through various vocalizations and body movements.

On the other hand, wildebeests, also known as gnus, are large antelope-like animals that migrate in search of food and water. They are known for their massive herds, which can consist of thousands or even millions of individuals. During migration, wildebeests face various challenges, including crossing rivers teeming with crocodiles and avoiding predators such as lions and hyenas.

Both zebras and wildebeests have a mutualistic relationship, where they benefit from each other's presence. This is because zebras have sharper eyesight and can detect predators from a distance, while wildebeests have a better sense of smell and can detect predators in close proximity. By joining forces, they increase their chances of survival against predators.



Siha afya marathon _2020
25/12/2020

Siha afya marathon _2020

28 Dec let’s run together
25/12/2020

28 Dec let’s run together

Siha Spot AgencyChini ya   Wanakuletea Tena 28 Dec 2020 k**a siku rasmi ya mbio pendwa za mwaka huu zikiwa zimebeba ujum...
22/11/2020

Siha Spot Agency
Chini ya
Wanakuletea Tena 28 Dec 2020 k**a siku rasmi ya mbio pendwa za mwaka huu zikiwa zimebeba ujumbe mzito wa


Mbio hizi zitakua ni za umbali wa Km 21, Km 10, Na km 5

Hivyo basi ili kushiriki nasi Mbio hizi za kutokomeza TB .Mshiriki atatakiwa kulipa kiasi cha Tsh 30,000/= kwa kutumia lipa no 5956705 Hii ni kwa mitandao yote Nchini

kila mshiriki atapata BIB T-shirt ,Medal🏅 pamoja na maji

Karibu Shiriki Nasi Mbio Za Afya Zenye Lengo La Kutokomeza TB : Say no to TB💪🏽


28/05/2020

Fahamu Gate La Londorosi lililopo Wilayani Siha ambalo ni moja kati ya njia rahisi kwa watalii kufika kileleleni mwa mlima huo mrefu barani siha
karibu siha tukujuze mengi ya huku

Mbio hizi za siha marathon zimeanza rasmi Tar 28/12/2019 mbio hizi zilianzia maeneo ya Ariel Josia Cotagge na kuishia ma...
01/04/2020

Mbio hizi za siha marathon zimeanza rasmi Tar 28/12/2019 mbio hizi zilianzia maeneo ya Ariel Josia Cotagge na kuishia macarella inn umbali wa takribani km 14 ... washiriki walifurahi sana kushiriki mbio hizi ,
Management ya siha health marathon inategemea kuboresha zoezi hili mara dufu mwaka huu ili kupata washiriki wengi zaidi na kutengeniza ukaribu kwa watu wa siha wote waishio siha na waishio nje ya siha
Shukrani za dhati ziendee team nzima ya na kwa kurusha matukio haya moja kwa moja


Address

Sanya Juu

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 08:00 - 17:00
Sunday 11:00 - 15:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Siha_Afyamarathon posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Siha_Afyamarathon:

Share

Category