31/03/2021
story:risasi ya kwanza
Mtunzi:secret
mandhari:nchi ya kigoto
»ep 1
"itawezekanaje lahm? Nambie hata ww jambo hili tumelpanga kw mda mrefu san tna san afu leo krahis 2uuvunje? Alsikika kindigo akihoji kwa jazba kidogo
"nisikilze
kindigo alsema lahm akiwa makni kumtazama kindigo usoni! mpak hpa 2lipopofikia 2meyajua meng san ndo man natak 2pate mda mda wa kutafar na c kwmb mpango we2 utakufa hpana we panga vjana baada ya mda 2taanz kaz ucpanic bro almalizia kueleza lahm na kuchukua maji na kupiga fundo 1 kisha akawa km amekumbuk k2
itz a time kaka twend alsema lahm na kisha kuinuka na kindigo akafata nyuma hao wakatokomea
****
ktk mipango iliyoonekan kumvurug mpelelez kimbisa na kumfany ajifungie ofcn kwke mpk sa 4 usk ilkua ni hii hbar alyopokea kutoka kw raia wema juu ya kundi hatar la mbwa wapole na mpango wao wa kuteka wachimbaji wa madin na kuwapora na kisha kuwaua aliwaza na kuwazua jins gn ya kulisambaratshakundi hlo liloanz kuwa htar ktk mji wa tama ngri ngrii...nani tna?
ITAENDELEA