17/05/2022
Kuelekea mchezo wa hapo kesho kati ya Azam Fc dhidi ya Simba Sc msemaji wa wanalambalamba Zaka Zakazi ameionya klabu ya Simba kutofanya aina yoyote ya ushirikina kabla na wakati wa mchezo
"Naionya Simba isiwashe Moto wa aina yoyote wasije wakaliwasha gari letu maana watalipa gharama kubwa sana tofauti na ile watakayoilipa CAF"
Source: Soka Space
-------
Usisahau kuufollow ukurasa wetu huu kwa taarifa nyingi za michezo za hapa nyumbani na duniani kote