16/08/2016
Ni miaka #80 sasa imepita tangu vilabu hivi vimeanzishwa lakini naona ni vilabu ambavyo havina maendeleo kivile vimekuwa ni vilabu vya kushinda na kusajili wachezaji wenye gharama vimekuwa ni vilabu vya kupigana majungu tu hii yote ni sababu ya klabu kuongozwa na nguvu ya wanachama na sio kimilikiwa na mtu binfsi mzuri angalia timu k**a ni klabu ambayo haina muda mrefu sana k**a zilivyo & lakini ni timu yenye mafanikio kwa muda mfupi ni kwasababu ina milikiwa na hapo ndio nagundua klabu inayo ongozwa kwa nguvu ya wanachama na klabu inayoongozwa na kampuni au mtu binafsi kunautofauti mkubwa sana ina nisikitisha sana kuona hivi vilabu vikubwa hapa vina miaka zaidi ya #70 lakini havina hata uwanja timu k**a Azam ina uwanja wake>>> Kwa ushauri wangu na mtazamo wangu mimi nilikuwa nafikilia vilabu vyote vya Tanzania viache ushirika na wanachama na badala yake watu wenye makampuni wavi nunue hivi vilabu na waviendeshe wenyewe binafsi,,, #