RonaldinhoMessi

RonaldinhoMessi sportsan and michezo yote kwa ujumla

SIMBA 🤣🤣🤣
10/01/2024

SIMBA 🤣🤣🤣

NANI K**A BOCCO NGOMBE HAZEEKI MAINI
16/12/2023

NANI K**A BOCCO NGOMBE HAZEEKI MAINI

BOCCOOOO TUKIKUMISS SANA PAPAA
15/12/2023

BOCCOOOO TUKIKUMISS SANA PAPAA


ZA NDAANI..Bocco BYE BYE...
10/12/2023

ZA NDAANI..
Bocco BYE BYE...


CHAMA LEO AKAE BENCHI DHIDI YA WAYDAD ...Hiki ndo kiyawakuta MAKOLO ..                                                  ...
09/12/2023

CHAMA LEO AKAE BENCHI DHIDI YA WAYDAD ...
Hiki ndo kiyawakuta MAKOLO ..


KIEMBA: CHAMA HAWEZI KUKUPA KILA KITU CHA PACOME ILA PACOME ANAKUPA KILA KITU CHA CHAMA.Hivi karibuni kumekuwa na mijada...
06/12/2023

KIEMBA: CHAMA HAWEZI KUKUPA KILA KITU CHA PACOME ILA PACOME ANAKUPA KILA KITU CHA CHAMA.

Hivi karibuni kumekuwa na mijadala kadhaa mitandaoni kuhusiana na Wachezaji Clatous Chama wa Simba SC na Pacome Zouzoua wa Yanga, wengi wanabishana na kutaka kujua nani bora zaidi ya mwenzake.

Mashabiki wengine wakienda mbali zaidi na hata kuniuliza, k**a mimi ningekuwa Kocha na niko nao wote kikosini nitaanza na mchezaji gani kati ya hao wawili.

Kwangu mimi binafsi huu ni mjadala wenye tija kwa ambao wameamua kujadili hili, mimi sioni k**a hawa ni wachezaji wa aina moja kuwalinganisha, nadhani unaweza kuwashindanisha Wachezaji kutokana na nafasi wanayocheza lakini hawafanani kwa maana ya utekelezaji wao wa majukumu.

Chama ni aina ya Wachezaji ambao kwenye soka la sasa hivi wanaanza kupotea kwa maana wale wachezaji ambao walikuwa wanacheza huru timu inapokuwa na mpira, hawa ni Wachezaji wanaoanza kupotea kwenye uchezaji wa sasa.

Wakati Pacome ni mchezaji wa kisasa ambaye anaweza kufanya majukumu yote mawili kwa wakati mmoja, anaweza kuchezesha timu na anaweza kukusaidia timu kuweza kupata matokeo na anaweza kukusaidia kujilinda k**a namba sita, Pacome anabadilika kutokana na eneo na vipindi.

Kipindi ambacho timu ina mpira Pacome anaweza kuwa namba 6, 8 na anaweza kuwa namba 10, wakati timu haina mpira Pacome anaweza kuwa namba 6 halisi akazuia k**a ambavyo namba 6 anafanya na pia anaweza kuwa namba 8 wa kisasa.

Ukitaka kuchagua nani zaidi itabidi uchague kipengele ambacho wote wanakifanya vizuri ambacho ni uimara wao, usichukue udhaifu wa mmoja na kulinganisha, kwangu mimi kila mmoja ana ubora wake kulingana na eneo lake ambalo yuko bora zaidi.

Pacome anaweza kumshinda Chama kwenye vitu vingi ndani ya kiwanja kimbinu kwa sababu anaendana na mchezo wa kisasa lakini Chama linapokuja suala la timu ina mpira na anatakiwa kufanya ubunifu, basi amekuwa akifanya kwa asilimia zaidi ya 80 isipokuwa kwenye kujilinda labda anatumia asilimia 20 kushuka chini, wakati Pacome anafanya kwa ubora ule ule, tukisema nani ni bora tutafute mchezaji ambaye wanaendana sifa na kuweza kupata mchezaji bora ila mimi naona wote wazuri.

BADO HAMJASEMA..
05/12/2023

BADO HAMJASEMA..


CAOTAIN FANTASTIC AMEACHWA KWENYE KIKOSI KITAKACHO CHUANA KIMATAIFA BOTSWANA NA JUANENG GALAXI ..Je Tutatoboa bila BOCCO...
30/11/2023

CAOTAIN FANTASTIC AMEACHWA KWENYE KIKOSI KITAKACHO CHUANA KIMATAIFA BOTSWANA NA JUANENG GALAXI ..
Je Tutatoboa bila BOCCO ???



WABONGO HATUNA SHUKRANI QMMKE 😡😡😡
23/11/2023

WABONGO HATUNA SHUKRANI QMMKE 😡😡😡


MAKOLO HAMNA UBUNIFU HAPA
23/11/2023

MAKOLO HAMNA UBUNIFU HAPA

KOCHA WA YANGA Kasema hakutarajia kushinda goli 5 japo aliamini Lazima Washinde                                         ...
06/11/2023

KOCHA WA YANGA Kasema hakutarajia kushinda goli 5 japo aliamini Lazima Washinde


Address

Mwanza

Telephone

+255628512992

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when RonaldinhoMessi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category