Tanzania Sport Today

Tanzania Sport Today Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Tanzania Sport Today, Sports Event, Nyegezi, Mwanza.

Mabingwa wa nchi Yanga  .Dar Es Salaam is green & Yellow ๐Ÿ’š๐Ÿ’›
26/06/2022

Mabingwa wa nchi Yanga .
Dar Es Salaam is green & Yellow ๐Ÿ’š๐Ÿ’›

๐ŸšจRASMI: Klabu ya Simba SC imetangaza kukamilisha usajili wa Mshambiliaji wa kimataifa wa Zambia ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ Mosess Phiri.
15/06/2022

๐ŸšจRASMI: Klabu ya Simba SC imetangaza kukamilisha usajili wa Mshambiliaji wa kimataifa wa Zambia ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ Mosess Phiri.

RASMI : Klabu ya Al Ahly Sc imethibitisha kuachana na kocha wao mkuu Pitso Mosimane ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆTakwimu zake akiwa na timu hiyo ๐Ÿ“ŠM...
13/06/2022

RASMI : Klabu ya Al Ahly Sc imethibitisha kuachana na kocha wao mkuu Pitso Mosimane ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ

Takwimu zake akiwa na timu hiyo ๐Ÿ“Š

Mechi: 97
Kushinda: 65
Kupoteza: 10
Sare: 22

CAF Champions League ๐Ÿ†๐Ÿ†
CAF Super Cup ๐Ÿ†๐Ÿ†
Egypt Cup ๐Ÿ†
Fifa Medal Club World Cup medal๐Ÿฅ‰๐Ÿฅ‰

Klabu ya Yanga imekamilisha usajili wa Mshambiliaji wa kimataifa wa Zambia ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ Lazarus Kambole .Kambole atajiunga na Yang...
12/06/2022

Klabu ya Yanga imekamilisha usajili wa Mshambiliaji wa kimataifa wa Zambia ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ Lazarus Kambole .
Kambole atajiunga na Yanga K**a Mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba wake na Kaizer Chiefs ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ.
Source"'Sport Center"'

๐ŸšจKlabu ya Simba SC imeachana rasmi na kocha mkuu wa klabu hiyo Pablo Martin raia wa Hispania baada ya kushindwa kufikia ...
31/05/2022

๐ŸšจKlabu ya Simba SC imeachana rasmi na kocha mkuu wa klabu hiyo Pablo Martin raia wa Hispania baada ya kushindwa kufikia malengo ya msimu huu (2021/22). Uongozi wa juu wa klabu hiyo tayari umempa taarifa ya kuvunja mkataba wake pamoja na kocha wa viungo Don Daniel De Castro raia wa Hispania.

๐Ÿšจ Klabu ya Yanga Sc ipo kwenye mazungumzo na wakala wa winga wa Klabu iyo Farid Musa ili kutaka kumuongezea mkataba mpya...
24/05/2022

๐Ÿšจ Klabu ya Yanga Sc ipo kwenye mazungumzo na wakala wa winga wa Klabu iyo Farid Musa ili kutaka kumuongezea mkataba mpya mchezaji uyo.

๐ŸšจRASMI: Klabu ya Simba Sc imethibitisha kuachana na kiungo wake mshambuliaji Bernard Morrison raia wa Ghana ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ญ"Klabu ya ...
13/05/2022

๐ŸšจRASMI: Klabu ya Simba Sc imethibitisha kuachana na kiungo wake mshambuliaji Bernard Morrison raia wa Ghana ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ญ

"Klabu ya Simba SC Imempa mapumziko ya hadi mwisho wa msimu mchezaji wake Bernard Morrison ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ญ

"Simba Imefikia maamuzi hayo baada ya pande zote mbili kukubaliana kwa lengo la kumpa nafasi Bernard Morrison ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ญ kupumzika na kushughulikia mambo yake binafsi..."

"Simba SC Inamshukuru Bernard Morrison ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ญ kwa mchango wake kwa kipindi chote alichohudumu ndani ya klabu yetu,

"Tunatambua na kuthamini mchango wa Morrison ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ญ katika miaka miwili aliyoitumikia klabu yetu na kuisaidia kupata mafanikio kadhaa ikiwemo kucheza robo fainali ya michuano ya Afrika mara mbili, kuchukua ubingwa wa ligi kuu Tanzania Bara ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ, Ubingwa wa Kombe la Azam Sports Federation na ubingwa wa Kombe la Mapinduzi.

"Kwa mchango na mafanikio hayo klabu Inamshukuru mchezaji huyo kipenzi cha wana Simba kwa kujitoa kwake kupigania klabu yake.."

"Simba Inamtakia kila la kheri Bernard Morrison ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ญ katika mapumziko yake na safari yake ya soka hapo baadae.."

๐Ÿ” Imetolewa na Afisa Mtendaji Mkuu; Barbara Gonzalez

-Klabu ya DTB FC iliyopanda ligi kuu ya NBC imekamilisha usajili wa golikipa wa klabu ya Polisi Tanzania Metacha Mnata k...
13/05/2022

-Klabu ya DTB FC iliyopanda ligi kuu ya NBC imekamilisha usajili wa golikipa wa klabu ya Polisi Tanzania Metacha Mnata kwa mkataba wa miaka miwili. Metacha atajiunga na DTB mwisho wa msimu huu k**a mchezaji huru baada ya mkataba wake na Polisi Tanzania kuisha.

Source"Sport news"

โœ๏ธKlabu ya Al Ahly ya Misri ipo tayari kumtoa kwa mkopo winga wao Luis Miquissone raia wa Msumbuji kwenda klabu yake ya ...
12/05/2022

โœ๏ธKlabu ya Al Ahly ya Misri ipo tayari kumtoa kwa mkopo winga wao Luis Miquissone raia wa Msumbuji kwenda klabu yake ya zamani Simba SC katika dirisha kubwa la usajili hii imekuja baadhi ya viongozi na wachezaji wa zamani kupiga usajili wake kutokana na nyota huyo kushindwa kuingia kwenye kikosi moja kwa moja.

Source"'Yossima sitta jr"'

โœ๏ธBeki na nahodha wa klabu ya Yanga SC, Bakari Nondo Mwamnyeto amekubali OFA ya kusaini mkataba mpya wa miaka miwili kue...
12/05/2022

โœ๏ธBeki na nahodha wa klabu ya Yanga SC, Bakari Nondo Mwamnyeto amekubali OFA ya kusaini mkataba mpya wa miaka miwili kuendelea kubaki Yanga kinachosubiliwa kwa sasa ni meneja wake kuja Tanzania ambaye yupo nje ya nchi.

Source"'Yossima sitta jr"'

Address

Nyegezi
Mwanza
TST

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tanzania Sport Today posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Tanzania Sport Today:

Share

Category