GNC football world

GNC football world GNC football world is all about world football,world best leagues,players,match analysis and much more........concerning the game!

08/11/2017

baada ya mechi ya jumapili dhidi ya mabingwa watetezi wa ligi kuu england chelsea the blues na mashetani wekundu man utd umuhimu wa kiungo mashuhuri ngolo kante ulijidhihirisha bila shaka sasa nataka unambie je unadhani mabingwa hao watetezi bila ya kante katikati ya dimba si chochote na je kwa kuangalia video hii ya uchambuzi wa mechi hiyo unadhani man utd na mourinho kiujumla walizidiwa sehemu gani haswa katika mechi hii?????ebu tazama video hii apa alafu comment,like au share post hii,,,,

baada ya mfululizo wa matokeo mabovu kabisa ya timu yake real madrid kocha zinedine zidane sasa kibarua chake kipo shaka...
02/11/2017

baada ya mfululizo wa matokeo mabovu kabisa ya timu yake real madrid kocha zinedine zidane sasa kibarua chake kipo shakani haswa baada ya pia kufungwa magoli matatu na timu ya tottenham hotspurs kwenye michuano ya uefa hapo jana!! je unadhani ni wakati sahihi wa kocha zinedine zidane kutupiwa virago real madrid???? tupia comment yako,like au share...

ni baadhi tu ya makocha wakubwa duniani na wanaofundisha timukubwa na zenye hadhi kubwa pale uingereza na ulaya kiujumla...
03/09/2016

ni baadhi tu ya makocha wakubwa duniani na wanaofundisha timu
kubwa na zenye hadhi kubwa pale uingereza na ulaya kiujumla sasa tumeona jinsi kila kocha alivyotamba katika dirisha hili la usajili lililofungwa tarehe 31 agosti 2016 je unadhani ni kocha gani aliyelamba dume katika usajili wake na je unadhani ni kocha yupi aliyevurunda katika usajili wake
HEBU TUPIA COMMENT ZAKO LIKE AU SHARE TUJUE MAWAZO YAKO WEWE MWANAMICHEZO MWENZETU!

16/07/2016

GNC football world is all about world football,world best leagues,players,match analysis and much more........concerning the game!

MGAA GAA NA UPWA ALI WALI MKAVU!!! baada ya takribani miaka 12 kulikosa kombe la euro na timu yake ya taifa ya ureno mwa...
11/07/2016

MGAA GAA NA UPWA ALI WALI MKAVU!!! baada ya takribani miaka 12 kulikosa kombe la euro na timu yake ya taifa ya ureno mwaka 2004 na kuangua kilio kikubwa hatimaye jana uilikuwa ni usiku wake wa kucheka shujaa, mpiganaji CRISTRIANO RONALDO(CR7)!ambaye daima hakukata tamaa na hatimaye kuiwezesha timu yake ya taifa kutwaa ubingwa wa ulaya jana usiku!!!HONGERA SANA SHUJAA CR7!HONGERA PORTUGAL!!! la classica CR7! DOR LOADING ON JANUARY!!!!!!

Euro 2016 semis...ureno vs walesRonaldo vs baleAshley williams vs pepeJoe allen vs joao marioWales bila ya ramseyNan ata...
05/07/2016

Euro 2016 semis...ureno vs wales
Ronaldo vs bale
Ashley williams vs pepe
Joe allen vs joao mario
Wales bila ya ramsey
Nan ataibuka kidedea ???

MWISHO WA ZAMA,,,,,AU MWISHO WA ENZI; ndicho unachoweza kusema baada ya usiku wa kuamkia leo kuwa wa maumivu kwa mashabi...
27/06/2016

MWISHO WA ZAMA,,,,,AU MWISHO WA ENZI; ndicho unachoweza kusema baada ya usiku wa kuamkia leo kuwa wa maumivu kwa mashabiki wa soka wa argentina baada ya timu yao ya taifa kuambulia kipigo kutoka kwa timu ya taifa ya chile,,,,na kuwa fainali ya tatu mfuluilizo kwa timu ya taifa ya argentina kupoteza ndani ya miaka mitatu,,hivyo kupelekea mchezaji bora kabisa duniani LIONEL ANDRES MESSI kuamua kustaafu kuichezea timu hiyo ya taifa,,,,nini maoni yako juu ya uamuzi huo wa messi je unadhani alichokifanya ni sahihi,,,,,comment,like au share.

Gnc football iko pamoja na wewe wakati wote huu wa michuano ya euro 2016 pale ufaransa,,, tungependa kujua nini utabiri ...
13/06/2016

Gnc football iko pamoja na wewe wakati wote huu wa michuano ya euro 2016 pale ufaransa,,, tungependa kujua nini utabiri wako wa michuano ya mwaka huu na je unahisi ni timu ipi itaibuka kidedea,, na je unadhani ni mchezaji gani atakaye ondoka na kiatu cha mfungaji bora????like,comment au share.

GNC FOOBALL WORLD INAPENDA KUIPONGEZA KLABU YA REAL MADRID KWA KUCHUKUA UBINGWA WA ULAYA KWA MARA YA 11 JANA BAADA YA KU...
29/05/2016

GNC FOOBALL WORLD INAPENDA KUIPONGEZA KLABU YA REAL MADRID KWA KUCHUKUA UBINGWA WA ULAYA KWA MARA YA 11 JANA BAADA YA KUIADHIBU ATLETICO MADRID NA KUANDIKA HISTORIA YA KUCHUKUA MATAJI 11 YA ULAYA!!! MADRID MADRID CAMPIONE REAL MADRID!!!!

BAADA YA JANA TIMU  YA SEVVILLA KUIGARAGAZA TIMU YA LIVERPOOL NA KUCHUKUA TAJI LAKE LA LIGI YA EUROPA MARA YA 3 MFULULIZ...
19/05/2016

BAADA YA JANA TIMU YA SEVVILLA KUIGARAGAZA TIMU YA LIVERPOOL NA KUCHUKUA TAJI LAKE LA LIGI YA EUROPA MARA YA 3 MFULULIZO SINA UBISHI TENA KUWA LIGI YA HISPANIA NDIO LIGI BORA KWA SASA BARANI ULAYA KUTOKANA NA MAFANIKIO YA TIMU ZAKE ULAYA!! WAINGEREZA WAKAJIPANGE HONGERA SEVILLA ,,,,,HONGERA LIGI YA HISPANIA!!!!COMMENT,LIKE AU SHARE!!!!!

HEBU TUMALIZENI UBISHI HUU USIO NA MWISHO NA ULIO ENEA KOTE DUNIANI KWA WAPENZI WA SOKA,,,,HIVI NI LIGI IPI ILIYO BORA K...
15/05/2016

HEBU TUMALIZENI UBISHI HUU USIO NA MWISHO NA ULIO ENEA KOTE DUNIANI KWA WAPENZI WA SOKA,,,,HIVI NI LIGI IPI ILIYO BORA KATI YA LIGI KUU YA UINGEREZA NA LIGI KUU YA HISPANIA???? LIKE,TOA MAONI AU SHARE,,,,,,TUJUE MSIMAMO WAKO!!!

HAWA NDIO WACHEZAJI MAKINDA WANAOTABILIWA MAKUBWA IKIWEMO KUJA KUCHUKUA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA DUNIA BALLON DOR BAADA ...
12/05/2016

HAWA NDIO WACHEZAJI MAKINDA WANAOTABILIWA MAKUBWA IKIWEMO KUJA KUCHUKUA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA DUNIA BALLON DOR BAADA YA UTAWALA WA MESSI NA RONALDO JE NI NANI UNAYEDHANI ATAFANIKIWA KUCHUKUA TUZO HIYO?GONGA LIKE,COMMENT AU LIKE ,,

Address

Ganyauclassic@GMAIL. COM
Mwamza

Telephone

0689741890

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when GNC football world posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to GNC football world:

Share

Category