Taarifa za michezo na matokeo ya soccer

Taarifa za michezo na matokeo ya soccer Hii ni kurasa inayo jihusisha na michezo mbal mbal dunian kote pamoj na matokeo ya soka yan livescore

Tumewasili salama nyumbani๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ›ฌ
02/03/2024

Tumewasili salama nyumbani๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ›ฌ


Safari ya kurudi nyumbani imeanzaโœˆ๏ธ
02/03/2024

Safari ya kurudi nyumbani imeanzaโœˆ๏ธ


Tumepambana kadri ya uwezo wetu ๐Ÿ’ช lakin bahati haikua kwetu ๐Ÿ˜ข utarejea imara kwa mechi zifuatazo ๐Ÿ’›๐Ÿ’š๐Ÿ’›๐Ÿ’›๐Ÿ’š
01/03/2024

Tumepambana kadri ya uwezo wetu ๐Ÿ’ช lakin bahati haikua kwetu ๐Ÿ˜ข utarejea imara kwa mechi zifuatazo ๐Ÿ’›๐Ÿ’š๐Ÿ’›๐Ÿ’›๐Ÿ’š

!Half timeAl ahly ๐Ÿ‡พ๐Ÿ‡ช 0-0 young Africans ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
01/03/2024

!Half time

Al ahly ๐Ÿ‡พ๐Ÿ‡ช 0-0 young Africans ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ


Klabu ya Yanga itamkosa  huduma ya Mchezaji wao Pacoume Zouzoua katika mchezo wa leo dhidi ya Al Ahly ya Misri taarifa z...
01/03/2024

Klabu ya Yanga itamkosa huduma ya Mchezaji wao Pacoume Zouzoua katika mchezo wa leo dhidi ya Al Ahly ya Misri taarifa za ndani zinasema kuwa Kocha Gamondi ameamua kumpumzisha Mchezaji huyo ambaye alicheza Mchezo dhidi ya Cr Belouzdad akiwa na Majeraha.


๐‹๐ˆ๐•๐„ ๐…๐‘๐Ž๐Œ ๐‚๐€๐ˆ๐‘๐Ž, ๐„๐†๐˜๐๐“๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ๐๐ˆ๐† screen iko tayari kwa ajili yako Mwananchi ๐Œ๐š๐ค๐š๐จ ๐Œ๐š๐ค๐ฎ๐ฎ ๐ฒ๐š ๐Š๐ฅ๐š๐›๐ฎ ๐‰๐š๐ง๐ ๐ฐ๐š๐ง๐ข kushuhudia mchezo w...
01/03/2024

๐‹๐ˆ๐•๐„ ๐…๐‘๐Ž๐Œ ๐‚๐€๐ˆ๐‘๐Ž, ๐„๐†๐˜๐๐“๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ

๐๐ˆ๐† screen iko tayari kwa ajili yako Mwananchi ๐Œ๐š๐ค๐š๐จ ๐Œ๐š๐ค๐ฎ๐ฎ ๐ฒ๐š ๐Š๐ฅ๐š๐›๐ฎ ๐‰๐š๐ง๐ ๐ฐ๐š๐ง๐ข kushuhudia mchezo wetu wa Kimataifa dhidi ya Al Ahly FC utakaochezwa kesho majira ya saa 1:00 usiku๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

Mwananchi usikose burudani na surprise kibao kuanzia saa 6:00 mchanaโ€ฆ. Hii siyo ya kukosa๐Ÿ”ฐ๐Ÿ’ช๐Ÿฝ


โ€œMimi sio kocha ambaye napendelea kuzuia timu kwa kukaba dakika 90, mpira kwangu ni k**a tamasha la maonesho nafikiri mk...
29/02/2024

โ€œMimi sio kocha ambaye napendelea kuzuia timu kwa kukaba dakika 90, mpira kwangu ni k**a tamasha la maonesho nafikiri mkinifuatilia utagundua niliwahi kuja hapa zamani, soka langu ni la kushambulia na siwezi kubadilisha sanaa ya soka langu bila kujali nakutana na mpinzani wa namna gani nitaheshimu wapinzani wangu lakini kwangu heshima sio hofuโ€

โ€œKila ninapoandaa timu naanda timu kushinda na si vinginevyo mimi ninawaamini wachezaji wangu kwa kiasi kikubwa nimewahi kucheza na Al Ahly nikiwa na Platnumz Stars na kuwa klabu ya kwanza kuifunga Al Ahly kutoka Afrika Kusini, Kwahiyo sina wasiwasi wala hofu ya kucheza dhidi ya timu kubwaโ€ Miguel Gamondi


โ€œKucheza na Al Ahly sio jambo rahisi, tunafahamu ukubwa wa klabu hii na tupo tayari kupambana, ni wasaa wa kuonesha sana...
29/02/2024

โ€œKucheza na Al Ahly sio jambo rahisi, tunafahamu ukubwa wa klabu hii na tupo tayari kupambana, ni wasaa wa kuonesha sanaa ya soka letu ni matarajio yangu kuona mchezo mgumu wa kimbinu naheshimu sana daraja la Ahly lakini niwahakikishie hatuna hofu yoyote tumekuja kushindana sio kukamilisha ratiba, malengo yetu ni kushinda mchezo huuโ€ Miguel Gamondi


Nipeni maua yangu niyanuse kabla sijafa ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
29/02/2024

Nipeni maua yangu niyanuse kabla sijafa ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Training for next match on Friday ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
29/02/2024

Training for next match on Friday ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

Ratiba ya CAF weekend hii
29/02/2024

Ratiba ya CAF weekend hii


Huyu jamaa akabidhiwe nani siku ya Ijumaa
29/02/2024

Huyu jamaa akabidhiwe nani siku ya Ijumaa

Address

Bank
Mkuranga

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Taarifa za michezo na matokeo ya soccer posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category