Swaga Media Tz

Swaga Media Tz follow and subscribe ourpage for news updates

Alianza na kibao cha selemani akachapa zinginee nyingii 🎵🎵 Aviola,asumani pawa NK; ipi ilikubariki zaid kutoka kwa mshed...
11/09/2025

Alianza na kibao cha selemani akachapa zinginee nyingii 🎵🎵 Aviola,asumani pawa NK; ipi ilikubariki zaid kutoka kwa mshedede mbosocan... SIMBA DAY

Anaitwa allasane kante kiungo mzuiaji raia wa Senegal miaka24  ni kwamba amesaini kuitumikia klabu ya simba sports . Vya...
22/07/2025

Anaitwa allasane kante kiungo mzuiaji raia wa Senegal miaka24 ni kwamba amesaini kuitumikia klabu ya simba sports .

Vyanzo vya kuaminika vimeripoti juu ya ujio wa kiungo huyo nyota aliye wahi kuhudumu vilabu kadhaa nchini senego na sasa atajiunga na simba akitokea klabu ya Birzetin ya Tunisia.

Nani acheze kule kwa zimbwee kwa klabu ya simba.maoni yako mhimuu x**a
19/07/2025

Nani acheze kule kwa zimbwee kwa klabu ya simba.maoni yako mhimuu x**a

Sasa rasimi fainali ya mwishoo Amaani Stadium Zanzibar.
19/05/2025

Sasa rasimi fainali ya mwishoo Amaani Stadium Zanzibar.

Jioni ya leo amecheza mchezo wake wa mwisho na kuisaidia timu yake kutinga hatua ya fainali ya kombe la CRDB Federation ...
18/05/2025

Jioni ya leo amecheza mchezo wake wa mwisho na kuisaidia timu yake kutinga hatua ya fainali ya kombe la CRDB Federation cup vs JKT Tanzania walipo shinda goli 2-0.

Azizi K anataraji kujiunga na wydadi club athletic ya moroco mda wowote kwa sasa tayari kwa michezo ya kombe la dunia ya vilabu ambapo mchezo wao wa kwanza utapigwa juni 18 dhidi ya Manchester city.
Vyanzo vya kuaminika ktoka yanga vimeweka bayana ju kuondoka kwake ingawa bado aijatajwa dau la usajir wake.

Duru mbalii mbali za habar zimeripoti juu ya fainali ya pili ya shirikisho Caf  kati ya Simba na RS berkane kupigwa uwan...
18/05/2025

Duru mbalii mbali za habar zimeripoti juu ya fainali ya pili ya shirikisho Caf kati ya Simba na RS berkane kupigwa uwanja wa amaani complex.
Mapema leo kpitia mtandao wa Instagram Rais wa heshima wa klabu iyo ameonekana akiposti picha hii ya uwanja wa amaani wenye uwezo wa kuchukua watazamaji 12000 tofauti na Benjamin mkapa wenye idadi ya mashabiki elf 60.

Weka silaha chini uko chini ya ulinzi 🤣 # Osman &Afrcon is loading
27/01/2025

Weka silaha chini uko chini ya ulinzi 🤣 # Osman &Afrcon is loading

Sio sura ngeni hapa mjini labda kwa wale ambao ni wageni kidogo, Amekua na kiwango kizuri sana pale tabora United huenda...
26/11/2024

Sio sura ngeni hapa mjini labda kwa wale ambao ni wageni kidogo, Amekua na kiwango kizuri sana pale tabora United huenda huduma yake ikaitajika na vilabu vingine vikubwa.

24/11/2024

Johnasan sow mshambuliaji anae husishwa kujiunga na dar yanga Africans na singida black stars zote zinashiriki NBC primer league

Sow huenda akatua dirisha dogo Nchini baada ya kuhusishwa Mara kadhaa na vilabu vya Tanzania akiwa anahudumu kwenye klabu yake ya al Nasir Benghazi ya Libya ambayo awali iliripotiwa kukubari ofa ya USD $220,000 kutoka kwa singida black stars.

Address

Mbeya Uwindini
Mikocheni

Telephone

+255747700570

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Swaga Media Tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Swaga Media Tz:

Share

Category