SIMBA Sc News

SIMBA Sc News Simba ubingwa,nidhamu na uongozi bora mbele afu mengine yanafuata

Wewe unaonaje hapa ??
12/10/2023

Wewe unaonaje hapa ??

Point 3 muhimu za kutolea mawenge kwa wale wanajiita wananchii
08/10/2023

Point 3 muhimu za kutolea mawenge kwa wale wanajiita wananchii

Simba Sc chama kubwa, akili kubwa, hesabu za kocha mkubwa, Wachezaji wakubwa kwenye taifa kubwa la Tanzania  ipo juu ya ...
08/10/2023

Simba Sc chama kubwa, akili kubwa, hesabu za kocha mkubwa, Wachezaji wakubwa kwenye taifa kubwa la Tanzania ipo juu ya kilele pale penye baridi la mbeya

Karibun watani zetu kwenye CAF group stage draw
07/10/2023

Karibun watani zetu kwenye CAF group stage draw

05/10/2023

Simba 2 tz prison 1

Yanga au utopolo fc  amedonoa mchere toka songwe Hadi ndan ya geto la ihefu kulichofuata ni kaliwa mbili kwa moja
05/10/2023

Yanga au utopolo fc amedonoa mchere toka songwe Hadi ndan ya geto la ihefu kulichofuata ni kaliwa mbili kwa moja

04/10/2023

Basi itoshe kusema mpira unadunda dkk 90 sasa Robertnho apewe maua yake kwa mahesabu yake yakimbinu

04/10/2023

Matokeo yakibaki hivi basi itakuwa mwisho wa maneno ya shombo kuwa Simba mbovu na kocha Robetnho wachambuzi wanahongwa Sana

Viingilio vya mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Power Dynamos.
28/09/2023

Viingilio vya mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Power Dynamos.

HIVI KUNA KUNA KITU GANI APANilitoa angalizo mapema Sana kabla ya ligi kuanza, isitoshe nilitoa hadi idadi ya waganga wa...
25/09/2023

HIVI KUNA KUNA KITU GANI APA
Nilitoa angalizo mapema Sana kabla ya ligi kuanza, isitoshe nilitoa hadi idadi ya waganga wao wanaowatumia kuhakiki timu yenu haifiki mahali.. still mlinibeza sana.

Mpango mkubwa wanaoutaka wenzenu nikuhakikisha msimu huu hata hatua ya makundi hamkanyagi, wameamua kutumia njia mbadala kuwaharibia wachezaji wenu.

Hata yule jamaa yao aliyeenda Zanzibar Wiki Jana alienda kufanya jambo alitumwa na watu wao.Hata Mashabiki waliopo Zanzibar walisema kuna k**ati inajigamba kuwaharibia wachezaji na Kucheza Mechi zeni.Hilo nalo hamlijui??

Wanataka na wao kuwa watawala na watambulike zaidi kuliko nyie.
Ndiyo maana wameamua kutumia njia mbadala kuwadogodesha ili wao washike ile Nafasi yenu mliyokuwa mmeshika nyie kimataifa..

Wenzenu wameungana na matawi yao wanapewa ushirikiano mkubwa Sana na matawi yao katika kuindoofisha Timu yenu.

Jitahidini na nyie muyape nguvu ya ushirikiano matawi yenu ili wawasaidie kwenye matatizo k**a .

Mnapaswa kujua kuwa wenzenu wamefanya Mchezo wa Mpira K**a uadui ndiyo Maana hata yule Digital manager wao kila anatumia Ukurasa wake kuichafua Club yenu kila siku.Yaani viongozi wao wanapigana vita ya Wazi wazi lakini pia wameajiri watu maalum kupigana vita ya Gizani na nyie.

Inamaana nyie hamsh*tuki?

👉❤️🌟 Niliwaonesha mchoro mzima kabla ya ligi kuanza lakini K**a mlibeza hivi.. làkini kuna mtu nilimtuma kwa kiongozi mmoja ili wafanye jambo lakini hawakufanya

chochote, kinachoendelea sasa hivi Ni Matokeo ya kile nilichowaambia mapema.

Lakini hamjachelewa bado mnaweza kufanya jambo kwaajiri ya watu wanaocheza na Timu yenu.

Sitawakumbusha tena hii ndiyo post yangu ya Mwisho kuhusu Swala lenu..

Updates:

Simba Sc inatarajia kucheza mechi ya kirafiki dhidi ya Pan African siku ya kesho Jumanne Septemba 26 saa 3:00 Asubuhi katika uwanja wa Mo Simba Arena, Bunju.

Mechi hiyo ni sehemu ya maandalizi ya mchezo ujao wa CAF CL dhidi ya Power Dynamos 🇿🇲

Beki Henock Inonga tayari amepatiwa matibabu. Taarifa zaidi kwenye Simba App.
21/09/2023

Beki Henock Inonga tayari amepatiwa matibabu. Taarifa zaidi kwenye Simba App.

Address

Mbeya

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when SIMBA Sc News posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category