I love Sport Tz

I love Sport Tz I LOVE SPORT TZ NI TUVUTI YA MICHEZO NA BURUDANI TANZANIA NA KAMA NA WEWE NI MWANAMICHEZO AU WEWE NI MWANAFAMILY WA SPORTS LIKE MY PAGE WELCOME MY FANS

Wachezaji wote wa Simba ambao walikuwa wanazitumikia Tim Zao za Taifa wamerejea tayari kwa game la kesho.
02/04/2021

Wachezaji wote wa Simba ambao walikuwa wanazitumikia Tim Zao za Taifa wamerejea tayari kwa game la kesho.

Nimesha Kupa Yes Tangia Mwanzo😎 Ukitaka kuchagua Straika kwenye Kikosi cha Simba kati Ya washambuliaji John Bocco Meddie...
31/03/2021

Nimesha Kupa Yes Tangia Mwanzo😎
Ukitaka kuchagua Straika kwenye Kikosi cha Simba kati Ya washambuliaji John Bocco Meddie Kagera Na Chris Mugalu lazima utamchagua Mugalu kwa sababu anazo sifa zote za uchezaji Katika eneo lake la kufunga .

1. Ananguvu za kutosha
2. Anamiliki mpira ipasavyo
3. Anaweza kufunga kwa kuunganisha pasi za chini kwa namna moja au niunge
4. Anaweza kufunga kwa kichwa .
Chris Mugalu Super straika super fantastic

Ukibisha utakuwa unabisha Na Didier Gomes😂

EL MAERRIKH VS MANULA WA SIMBA SC.Klabu ya El Merrikh ya Sudan Imetoa kiasi hiki cha pesa ili kumnyakua Golikipa wa Namb...
29/03/2021

EL MAERRIKH VS MANULA WA SIMBA SC.
Klabu ya El Merrikh ya Sudan Imetoa kiasi hiki cha pesa ili kumnyakua Golikipa wa Namba Moja wa Simba SC Aishi Manula wametoa dola 100'000 pia kwa mwezi atakuwa anaripwa dola £80'000 wameonyesha nia kubwa sana ya kumtwaa AISHI SALUM MANULA.

Tetesi WAKATI kipa wa Simba, Aishi Manula akiendelea kung’ara kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu, taar...
24/03/2021

Tetesi
WAKATI kipa wa Simba,
Aishi Manula akiendelea kung’ara kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu, taarifa kutoka Sudan zinasema kwamba, Rais wa Al Merrikh, Adam Sudacal, ametoa takribani shilingi 230 kuinasa saini yake.
Waarabu hao wa Sudan,

wanaonekana kuwa siriaz katika kuinasa saini ya Manula baada ya kutengeneza rekodi ya kutoruhusu bao katika mechi tatu za hatua ya makundi ya michuano hiyo msimu huu.

EXCLUSIVE. Baada ya klabu ya Simba SC kuachana Na Mshambuliaji wao Raia wa Nigeria Junior Lukosa 🇳🇬 Simba SC Imetua kwa ...
18/03/2021

EXCLUSIVE. Baada ya klabu ya Simba SC kuachana Na Mshambuliaji wao Raia wa Nigeria Junior Lukosa 🇳🇬 Simba SC Imetua kwa Mshambuliaji Ovoke Bernard mchezaji Ambaye Katika swara la kutupia kambani ni kawaida yake kwa sasa anawatumikia Pletiau United walimsajili kwa ajili ya CAF Champions League.

Lakini Pletiau United hawakuwa Na bahati kwenye michuano hiyo walitolewa kwenye raundi ya kwanza kuhusu mkataba wa Ovoke Bernard Na Pletiau United alisaini miezi.
Fantastic players⚽🎯

NI KILIO CHA WATANZANIA 🇹🇿 WOTE KWA JPM KWA KUFALIKI DUNIA 😴😭😭😭
18/03/2021

NI KILIO CHA WATANZANIA 🇹🇿 WOTE KWA JPM KWA KUFALIKI DUNIA 😴😭😭😭

😢Klabu ya Soka ya Simba SC kesho watashuka dimbani kucheza mchezo wa Ligi ya Mabingwa Africa   Dhidi ya El Merrikh.Simba...
15/03/2021

😢
Klabu ya Soka ya Simba SC kesho watashuka dimbani kucheza mchezo wa Ligi ya Mabingwa Africa Dhidi ya El Merrikh.
Simba itawakosa wachezaji wawili tegemeo kabisa Taddeo Lwanga Na Beki Kisiki Pascal Wawa wataukosa mchezo huo kutokana Na kadi mbili za njano walizopata kwenye michezo miwili As Vita Club Na El Merrikh.

Francis Kahata 🇰🇪Soka la Tanzania liko juu Sana Ligi kuu Tanzania bara inaradha tofauti Na Nchini za Kenya🇰🇪 Uganda🇺🇬Bur...
13/03/2021

Francis Kahata 🇰🇪
Soka la Tanzania liko juu Sana Ligi kuu Tanzania bara inaradha tofauti Na Nchini za Kenya🇰🇪 Uganda🇺🇬Burundi 🇧🇮 Nimeishi Tanzania kwa mda mfupi ila nimeona Timu za Tanzania Simba Na Yanga zinapendwa Na watu wengi ambao wanafanya kazi vizuri ya ushabiki pia wanatusapoti hata sisi wachezaji kwa kutusifu kutupa nguvu za kupambana Na wapinzani.
Alisema Kahata winga wa Simba SC.

Simba Sports Club Kucheza bila Mashabiki Dhidi ya El Merrikh.
13/03/2021

Simba Sports Club Kucheza bila Mashabiki Dhidi ya El Merrikh.

MAMBO MAZURI KWA BEKI WA SIMBA SC MUDUHWA.Kocha mkuu wa klabu ya Simba SC Didier Gomes Da Rosa Amesema kuwa kadri ya Sik...
13/03/2021

MAMBO MAZURI KWA BEKI WA SIMBA SC MUDUHWA.
Kocha mkuu wa klabu ya Simba SC Didier Gomes Da Rosa Amesema kuwa kadri ya Siku zinapozidi kwenda Beki wake Mzimbabwe Peter Muduhwa 🇿🇼 anazidi kuimalika zaidi kwahiyo Mechi ijayo Dhidi ya El Merrikh anaweza kucheza.
Kocha Didier Gomes

PENALTY ZA AJABU VPL.😂Clatous Chama alikosa penati Dhidi ya Azam FC Matokeo FT Simba 2-2 Azam.Tuisila Kisinda alikosa pe...
13/03/2021

PENALTY ZA AJABU VPL.😂
Clatous Chama alikosa penati Dhidi ya Azam FC Matokeo
FT Simba 2-2 Azam.

Tuisila Kisinda alikosa penati Dhidi ya Coastal Union matokeo
.
FT Coastal Union 2-1 Yanga SC.
Chris Mugalu alikosa penati Dhidi ya Tz Prison matokeo
FT Simba 1-1 Prisons

FT TP Mazembe 6-0 Kinshasa
11/03/2021

FT
TP Mazembe 6-0 Kinshasa

Address

Kariakoo
Kinondoni

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when I love Sport Tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category