19/06/2019
-Kocha mkuu wa timu ya Senegal, Aliou Cisse amesema hawezi kuzichukulia poa timu za Tanzania na Kenya kwenye kundi C la Afcon. Cisse amesema ni kweli Senegal na Algeria ni timu kubwa kwenye kundi ila Kenya na Tanzania kwa wao Senegel hawa wezi kuwadharau kwa sababu mechi na timu dogo ndio zinakuwa mechi ngumu sana.