Global Foot

Global Foot Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Global Foot, Sports Event, Osofia, Kigoma.
(1)

Msafiri Sports Hub | Taarifa Moto za Michezo
โšฝ๏ธ Habari, Matokeo & Takwimu
๐ŸŒ EPL | La Liga | Serie A | Bundesliga | Ligue 1 | NBC
๐Ÿ”ฅ Hashtags
๐Ÿ“ฒ Matukio Mubashara & Uchambuzi

KWA MATANGAZO KARIBU
PIGA 0756170880

Funguka... ๐Ÿ‘Ž
18/09/2026

Funguka... ๐Ÿ‘Ž

Messi kwenye picha ya pamoja na walinzi wake...
18/09/2026

Messi kwenye picha ya pamoja na walinzi wake...

Kitu gani kinakuvutia kwenye soka la wanawake?
18/09/2026

Kitu gani kinakuvutia kwenye soka la wanawake?

Je, unakumbuka ahadi uliyowahi kutoa ukiwa mtoto mdogo ambayo ulitimiza ukubwa? Soma kisa hiki cha kusisimua cha staa wa...
18/09/2026

Je, unakumbuka ahadi uliyowahi kutoa ukiwa mtoto mdogo ambayo ulitimiza ukubwa? Soma kisa hiki cha kusisimua cha staa wa soka Marcelo! ๐Ÿ‘‡

"Nilipokuwa na umri wa miaka 14, nilimwomba mama yangu aninunulie mpira wa miguu na akaniambia, 'Hapana Marcelinho, hatuwezi kumudu.'
Basi nikaenda dukani nikamwambia yule bwana, 'Bwana, unaweza kuniuzia mpira? Nitakulipa utakapokuwa mchezaji wa kulipwa wa mpira.'

Akaanza kucheka na kusema, 'Ndio bwana, Marcelo. Kumbuka tu kunilipa.'

Na ndivyo ilivyokuwa. Nilipopata nafasi, nilirudi na kununua mipira yote ili kuwapa watoto maskini kwenye mtaa wetu." โค๐Ÿ‘

๐Ÿšจ๐Ÿ”ฅ SAFU YA USHAMBULIAJI YA BARCELONA MSIMU HUU NDANI YA MECHI 7๐Ÿ’™โค๏ธโšฝ๏ธโšฝ๏ธโšฝ๏ธโšฝ๏ธโšฝ๏ธโšฝ๏ธโšฝ๏ธโšฝ๏ธโšฝ๏ธโšฝ๏ธโšฝ๏ธ๐ŸŽฏ๐ŸŽฏ๐ŸŽฏ Raphinha ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ทโšฝ๏ธโšฝ๏ธโšฝ๏ธโšฝ๏ธโšฝ๏ธโšฝ๏ธโšฝ๏ธโšฝ๏ธ๐ŸŽฏ...
17/09/2026

๐Ÿšจ๐Ÿ”ฅ SAFU YA USHAMBULIAJI YA BARCELONA MSIMU HUU NDANI YA MECHI 7๐Ÿ’™โค๏ธ

โšฝ๏ธโšฝ๏ธโšฝ๏ธโšฝ๏ธโšฝ๏ธโšฝ๏ธโšฝ๏ธโšฝ๏ธโšฝ๏ธโšฝ๏ธโšฝ๏ธ๐ŸŽฏ๐ŸŽฏ๐ŸŽฏ Raphinha ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท
โšฝ๏ธโšฝ๏ธโšฝ๏ธโšฝ๏ธโšฝ๏ธโšฝ๏ธโšฝ๏ธโšฝ๏ธ๐ŸŽฏ๐ŸŽฏ๐ŸŽฏ๐ŸŽฏ Lamine Yamal ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ
โšฝ๏ธโšฝ๏ธโšฝ๏ธโšฝ๏ธ๐ŸŽฏ๐ŸŽฏ Fermรญn Lรณpez ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ
๐ŸŽฏ๐ŸŽฏ๐ŸŽฏ๐ŸŽฏ Gordon ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ง
โšฝ๏ธโšฝ๏ธโšฝ๏ธ๐ŸŽฏ๐ŸŽฏ Adeyemi ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช
๐ŸŽฏ๐ŸŽฏ๐ŸŽฏ๐ŸŽฏ Dani Olmo ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ
โšฝ๏ธโšฝ๏ธ Gabriel Jesus ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท

๐Ÿ”ฅ๐Ÿคฏ

๐Ÿšจ TAARIFA NZITO SANA! LIONEL MESSI AWEKA SINILET YA KIHISTORIA, SASA NI MILIKI WA KLABU YA MPIRA! ๐Ÿ”ด๐Ÿ”ตMfalme wa soka dunia...
16/09/2026

๐Ÿšจ TAARIFA NZITO SANA! LIONEL MESSI AWEKA SINILET YA KIHISTORIA, SASA NI MILIKI WA KLABU YA MPIRA! ๐Ÿ”ด๐Ÿ”ต

Mfalme wa soka duniani, Lionel Messi, ameamua kuandika ukurasa mpya kabisa kwenye historia ya mchezo wa mpira wa miguu! Si tu kucheza uwanjani, bali sasa anamiliki timu yake mwenyewe! ๐Ÿ‘‘โšฝ

Messi amekamilisha taratibu zote za kisheria na kusaini nyaraka rasmi za kununua 100% ya ownership ya klabu ya CD Eldense inayocheza Ligi ya Daraja la Pili nchini Uhispania (Spanish Second Division), k**a ilivyothibitishwa na jarida la Marca leo! ๐Ÿ”

๐ŸŒŒ Hatua hii imekuja kufuatia makubaliano ya mdomo yaliyoripotiwa wiki iliyopita. Leo hii, Leo Messi anaanza rasmi kujenga ufalme wake wa klabu za soka kwa ajili ya maisha yake ya baadaye.

โณ Mchakato huu mkubwa kwa sasa unasubiri kibali cha mwisho kutoka Baraza la Taifa la Michezo nchini Uhispania (Spain's National Sports Council), kabla ya kutangazwa rasmi na Messi mwenyewe!

Je, unadhani Messi atafanikiwa pia akiwa k**a Mmmiliki wa klabu k**a alivyofanya akiwa mchezaji? Dondosha maoni yako hapa chini! ๐Ÿ‘‡๐Ÿ”ฅ

๐Ÿ”ฅ๐Ÿ™ GABRIEL JESUS: FURAHA YANGU YA KWELI INATOKA KWA MUNGU!Mshambuliaji wa Brazil, Gabriel Jesus, amefunguka kuhusu nafas...
15/09/2026

๐Ÿ”ฅ๐Ÿ™ GABRIEL JESUS: FURAHA YANGU YA KWELI INATOKA KWA MUNGU!

Mshambuliaji wa Brazil, Gabriel Jesus, amefunguka kuhusu nafasi ya Biblia na imani yake kwa Mungu katika maisha yake ya soka.

๐Ÿ“– Gabriel Jesus ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท:

> "Mimi huwa nasoma Biblia kila wakati. Hata kabla ya mechi, huwa nina Biblia yangu pamoja nami klabuni.Kila mara nasoma mstari mmoja wa Biblia kabla sijaingia uwanjani.Kwangu mimi, Biblia ni Kitabu cha Uzima.Leo, furaha yangu inatokana na kujua kwamba ninamwamini Mungu kwa dhati. Najua kwamba Yeye hunipa furaha kila siku.Kwa siku za hivi karibuni, nimekuwa nikisoma sana kitabu cha Zaburi. Biblia inakuonyesha mambo mengi yanayotokea katika maisha; kuisoma kunakupa hisia nyingi.Mpango ambao Mungu anao kwa ajili yangu unategemea matendo yangu. Kwa hiyo, nikifanya mambo vizuri, Mungu ataniongoza kwenye njia njema!"

๐ŸŽ™๏ธ El Periodico

Funzo: Kipaji kinaweza kukufikisha uwanjani, lakini imani inaweza kukupa nguvu ya kuendelea hata nje ya uwanja. ๐Ÿ™โšฝ

๐Ÿ˜‚๐Ÿ”ฅ MTOTO WA MIAKA 10 AMESEMA YA MOYONI, NA BARCELONA HAWATAPENDA HILI!Nico Garrido, mchezaji mwenye umri wa miaka 10 wa ...
15/09/2026

๐Ÿ˜‚๐Ÿ”ฅ MTOTO WA MIAKA 10 AMESEMA YA MOYONI, NA BARCELONA HAWATAPENDA HILI!

Nico Garrido, mchezaji mwenye umri wa miaka 10 wa Sant Andreu, hakujizuia kwenye mahojiano. Alipoulizwa kuhusu Barcelona, akafunguka kwa maneno yaliyowafanya watu wacheke. ๐Ÿ˜ญ๐Ÿคฃ

๐ŸŽ™๏ธ Unaishabikia timu gani? ๐Ÿ—ฃ๏ธ "Barรงa, lakini nina hasira nao."

๐ŸŽ™๏ธ Kwa nini? ๐Ÿ—ฃ๏ธ "Walinitimua."

๐ŸŽ™๏ธ Ilkuwaje? ๐Ÿ—ฃ๏ธ "Nilipokuwa na miaka saba walinisajili, halafu wakaniacha bila kunieleza sababu. Nikikua, nitajua mwenyewe."

๐ŸŽ™๏ธ Mchezaji wako wa kuigwa ni nani? ๐Ÿ—ฃ๏ธ "Carles Puyol."

๐ŸŽ™๏ธ Una maoni gani kuhusu Lamine Yamal? ๐Ÿ—ฃ๏ธ "Ana miaka 18 na anafikiri yeye ni Messi."

๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Mtoto huyu ana kumbukumbu ya Barcelona, moyo wa Puyol na kauli kali kuhusu Lamine Yamal!. ๐Ÿ”ฅ

Rodri na Bernardo...Maisha yamekuwa vice versa...
22/08/2026

Rodri na Bernardo...

Maisha yamekuwa vice versa...

Katiba ya mechi za leo ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Tanzania - Premier Leagueโ€ข 18:00 Singida Black Stars ๐Ÿ†š Simba SCโ€ข 20:30 Geita Gold FC ๐Ÿ†š Kagera ...
22/08/2026

Katiba ya mechi za leo

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Tanzania - Premier League

โ€ข 18:00 Singida Black Stars ๐Ÿ†š Simba SC
โ€ข 20:30 Geita Gold FC ๐Ÿ†š Kagera Sugar

๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ Premier League (Uingereza)

โ€ข 14:30 Hull City ๐Ÿ†š Manchester United
โ€ข 17:00 Everton ๐Ÿ†š Crystal Palace
โ€ข 17:00 Ipswich Town ๐Ÿ†š Sunderland
โ€ข 17:00 Nottingham Forest ๐Ÿ†š Leeds United
โ€ข 19:30 Brentford ๐Ÿ†š Tottenham Hotspur

๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ La Liga (Hispania)

โ€ข 18:00 Athletic Bilbao ๐Ÿ†š Sevilla FC
โ€ข 20:30 Valencia CF ๐Ÿ†š Celta de Vigo
โ€ข 22:30 RCD Espanyol ๐Ÿ†š Real Madrid

๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡น Serie A (Italia)

โ€ข 19:30 Udinese Calcio ๐Ÿ†š Como
โ€ข 19:30 Inter Milan ๐Ÿ†š Monza
โ€ข 21:45 Genoa ๐Ÿ†š SSC Napoli
โ€ข 21:45 Parma ๐Ÿ†š Cagliari Calcio

๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท France - Ligue 1

โ€ข 18:15 Lens ๐Ÿ†š Auxerre
โ€ข 21:45 Le Mans ๐Ÿ†š Brest
โ€ข 21:45 Nice ๐Ÿ†š Lorient
โ€ข 21:45 Toulouse ๐Ÿ†š Lyon
โ€ข 21:45 Troyes ๐Ÿ†š Paris FC

๐Ÿ‘‰ ingia hapa ili kuweka mkeka wako :
https://pmbet.co.tz/en/auth/signup/A112

Address

Osofia
Kigoma
ELKAKA

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Global Foot posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Global Foot:

Shortcuts

Share

Category