SCORE BOARD

SCORE BOARD Amplifaya clouds fm

02/07/2022

Ooh ni nin hiki
02/07/2022

Ooh ni nin hiki

Wazee msimu ujao tutaona mengi k**a gwaridee
02/07/2022

Wazee msimu ujao tutaona mengi k**a gwaridee

02/07/2022

Kiungo mshambuliaji wa klabu Simba aliyewahi kuitumikia pia klabu ya Yanga, Bernard Morrison amesema anatamani sana apate uraia wa Tanzania alipokuwa anazungumza na wanahabari .

Moja ya sababu ya Morrison kutamani kuwa Mtanzania ni uzuri wa Tanzania lakini pia anatamani sana kuitumikia Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars .

Vipi , mzee wa Kucheketua apewe Uraia twende naye AFCON ?

02/07/2022

Rais wa shirikisho la soka Duniani FIFA, Gianni Infantino amethibitisha kutumika kwa mpira uliotengenezwa kwa teknolojia maalumu ya kubaini /kutambua offside katika mashindano ya Kombe la Dunia Qatar 2022.

Infantino amesema wamekubaliana na Adidas kufanya hivyo ili kuwasaidia waamuzi mara baada ya teknolojia ya VAR kufanya vizuri tangu ilipoanza kutumika .

Unamaoni gani katika hili la mpira kuwa na uwezo wa kutambua offside ?

Credit

Kuna namna tukutane kila jumatatu mpaka ijumaa kwenye score board ya clouds amplifaya na millard ayo
02/07/2022

Kuna namna tukutane kila jumatatu mpaka ijumaa kwenye score board ya clouds amplifaya na millard ayo

Chumaa hiyooo
02/07/2022

Chumaa hiyooo

Address

Mikocheni
Kigamboni

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when SCORE BOARD posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category