REFRA 9

REFRA 9 ••••Great thinker never stack°°°°

07/03/2021

Morning fam

13/05/2020

Dream is not that you see in a sleep but dream is that let you not sleep then stay focused on your dreams

13/02/2020

Hi fam

12/03/2019

Maisha ni k**a mtihani ambao kila mtu anakaratasi ya maswali ambao unamuda maalumu wa kukusanya||to passout|| maana ni mipango yamungu kufa hata ujipende lakini mungu anakupenda zaidi. Then °°°quit praising others°°°
Maana muda utakao kuwa unajaribu kuwa ridhisha watu iliwakupende labda, utakuwa unawapa urahisi wa kufanya mitihani yao kwa usahihi napengine kuweza kufaulu vizuri, huku wewe ukizidi kujiandalia kufeli katika mtihani wako.
Katika maisha siyo vizuri kulitamka neno ningejua maana huja mwisho wa safari.
Tafakari chukua hatua share na wengine
tutafakari pamoja ✍✍✍🙏🙏🙏
°°°°°°Great thinker never fail°°°°°

like and share for lovefolow ,, @Refra 9Refra 9 Refra 9
19/08/2018

like and share for love

folow ,, @
Refra 9
Refra 9
Refra 9

27/07/2018

⏺⏺MAJUTO NI MJUKUU ☮☮

Neno la kweli siyo zuri na neno zuri halina ukweli°°° maranyingi mtu anapo enenda katika njia mbaya yaani kutenda matendo mabaya huwa anagubigwa na upofu wa ujinga na akitokea mwelevu wa kumrudisha kwenye mstari mnyoofu yaani njia sahihi kinachotokea huwa ni ugonvi,matusi na bifu zisizo na mwisho lakini mwisho wa watu hawa huwa ni majuto pengine hadi kupoteza dira au mwelekeo wa
maisha yao.

Changamoto hii hasa inawakuta wazazi na walezi kwa vijana wao licha ya kuhusika kikamilifu katika uzazi au ulezi kwa watu hawa lakini hupuuzwa tena hasa wazazi/walezi wa k**e nao hawachoki kuwaombea
dua njema licha ya kupuuzwa.

Eee m/mungu turehemu pengine hatujui tuyatendayo japo katika yoote tuyatendayo mazuri na mabaya yanachanzo:::::;

like na share k**a unaogopa majuto kuwa mjuku....

12/07/2018

I wonder°°° why always people keep in fighting for money & love in order to live pleasure life as their thought and faith on it, while money and love makes people crazy, also number of death increasing bcoz of money and love:

DEBATE:

pls, PROPOSE or OPPOSE:
is it true that money is a source of all evils ??
Drop your comment :

°°I believe greet thinker never stack°°

Address

Kigoma P. O. Box 443
Kasulu

Telephone

0677472818

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when REFRA 9 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to REFRA 9:

Share