07/12/2018
Drake ameendeleza rekodi yake ya kuwa rapper bora anae sikilizwa Mara nyingi duniani kwa maelezo ya chat za billboard wanasema drake amekuwa akivunja record nyingi duniani ambapo wanasema kwa siku moja nyimbo zake zinasikilizwa na watu million moja na nyimbo zake ndo zinaongoza kukaa katika chat za billboard This is details on air stick around on this page