DICK'y TM

DICK'y TM Get started for Updates, Intertainment, & Technology about living world .�

Je? unatambua kuwa ile hotel iliyopo  katikati ya bahari Dubai ile shepu ya k**a mbavu ni kuwa kuna nyumba katika zile m...
20/04/2021

Je? unatambua kuwa ile hotel iliyopo katikati ya bahari Dubai ile shepu ya k**a mbavu ni kuwa kuna nyumba katika zile mbavu.

Rapa DMX afariki dunia katika hospital iliyopo Los Angels.Rest In Peace DMX 🙏🙏🙏
10/04/2021

Rapa DMX afariki dunia katika hospital iliyopo Los Angels.
Rest In Peace DMX 🙏🙏🙏

Diamond platnumz amethibitisha kusain dili la pesa nyingi sana ambazo ni BILLION 11.5 za kitanzania na kampuni ya  na le...
09/04/2021

Diamond platnumz amethibitisha kusain dili la pesa nyingi sana ambazo ni BILLION 11.5 za kitanzania na kampuni ya na lebo yake ya .

REGINA
15/11/2020

REGINA

Bado hujasikiliza wimbo wa "WHY NOW" kutoka kwa NAVY KENZO.LIKE, COMMENT & SHARE'
13/07/2020

Bado hujasikiliza wimbo wa "WHY NOW" kutoka kwa NAVY KENZO.

LIKE, COMMENT & SHARE
'

JUMA_JUX akiwa na trainer wake UCHEBETRAINER1LIKE, COMMENT & SHARE
02/06/2020

JUMA_JUX akiwa na trainer wake UCHEBETRAINER1

LIKE, COMMENT & SHARE

JUMA_JUX a.k.a AFRICAN BOY anakuwa LIVE tarehe 8  siku ya alhamis kupitia mtandao wa INSTAGRAM  na kuzungumzia kuhusu ha...
26/05/2020

JUMA_JUX a.k.a AFRICAN BOY anakuwa LIVE tarehe 8 siku ya alhamis kupitia mtandao wa INSTAGRAM na kuzungumzia kuhusu hali inayoendelea imelete changamoto gani katika swala zima la mapenzi na kurusu maswali kuhusiana na yeye mwenyewe.

LIKE, COMMENT & SHARE

Diamond Platnumz & S2kizzy wakiwa kwenye mitambo ya burudani.LIKE NA KUSHARE KWA MENGINE,..
26/05/2020

Diamond Platnumz & S2kizzy wakiwa kwenye mitambo ya burudani.
LIKE NA KUSHARE KWA MENGINE,..

KONDEGANG  WORLDWIDE MUSIC Imetambulisha EP ya mwanamuziki wao aliyesainiwa hivi karibu ambayo imebeba nyimbo 5 inayokuj...
10/05/2020

KONDEGANG WORLDWIDE MUSIC Imetambulisha EP ya mwanamuziki wao aliyesainiwa hivi karibu ambayo imebeba nyimbo 5 inayokuja kwa jina la STEPS, kuna ambayo kamshilikisha HARMONIZE na JOEBOY.


Usisahau KULIKE na KUFOLLOW hii page kwa mengineyo.

Address

Mwananyamala
Dar Es Salaam

Telephone

+255620592546

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when DICK'y TM posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to DICK'y TM:

Share