31/05/2026
ALPHONCE FELIX SIMBU ASHIRIKI WAKILI MARATHON 2026
Mwanariadha wa Kimataifa na bingwa wa Dunia Alphonce Felix Simbu ashiriki mashindano ya WAKILI MARATHON jijini Dodoma Leo tarehe 31 Mei 2026.
“Ninawahamasisha Watanzania kuendelea kufanya mazoezi na kushiriki matukio ya michezo kwa sababu afya bora ndiyo msingi wa maendeleo ya mtu mmoja mmoja na taifa kwa ujumla,” amesema Simbu.