Hakuna gumu Mbele za Mungu wa mbinguni.

Hakuna gumu Mbele za Mungu wa mbinguni. 1.Will you able to comfort some ones as awesome of God the all might

22/01/2026

UMUHINUWAMAOMBI
Weweusikiayekuomba,wote wenye mwili
watakujia."Zaburi65:2."Kamaningaliwazamaovumoyonimwengu,Bwana
asingesikia."Zaburi66:18.Tazama Isava59:1-2.
Yakobo4:3.
FAHAMU:Maombi hayamshushi Mungu kwako bali hukuinua mpaka mahali alipo Mungu,hukuza uhusiano wako na muumba wako,Maombi ni ufunguaji wa moyo kwa Mungu k**a ilivyo kwa rafiki,Maombi hayambadilishi Mungu ila yanatubadilisha sisi,ili tufanane naye,Epuka kumuamrisha na kufoka kwa Mungu bali msihi kwa lugha ya upole na kunyenyekea anatusikia tumwitapo bila kujalisha mazingira tuliyopo fuata amri zake na kuwajali wengine gusa moyo wa Mungu kwa kuwatendea wengine mema na maombi yako yatajibiwa ila k**a haujali watu kuwasaidia kwa vile ulivyo navyo anatuambia ukimsaidia mmojawapo wa wanadamu unamtendea yeye k**a utoavyo sadaka kanisani wape wengine sadaka zako zitakuwa ukumbusho mbele za Mungu tuwe Kornelio wa leo.Mdo 10.Yeyealigeuzayesikiolakeasiisikiesheria.hatasala
yakenichukizo."Mithali28:9."Lakinimiminawaambia,wapendeniaduizenu
waombeewanaowaudhi."Mathayo5:44.esheni,mwombe,msijemkaingiamajaribuni;
rohoiradhi,lakinimwilinidhaifu."Mathayo26:41.Ila na omba kwa imani, pasipo shaka yo yote; maana
lililochukuliwanaupepo,nakupeperushwahukuna
mwenyeshakanik**awimbilabahari
atapokeakitukwaBwana."Yakobo1:6-7.Tazama
huku.Maanamtuk**ayuleasidhaniyakuwa
Marko11:24.Fahamu-Maombiniufunguomikononimwamwenye
Imaniakikufunguahazinazotezambingunimahali
paliponautajiriusionakifaniwaMungu.
Mungu akubariki unajipanga kumuomba kwa Roho na kweli ukijijali na kuwajali wengine
Kesho tutaendelea na vitu vinavyozuia maombi kutokujibiwa kwa wakati asanteni sana kwa kuchulua usikivu wenu kusoma neno la Mungu
Mungu akupe haja ya moyo wake

06/01/2026

KARIBUNI KATIKA KUTIMIZA WITO WETU TULIOITIWA
1.KUHUBIRI INJILI MATH 28:19-20,MARK 16:15
2.IBADA Wafilipi 4:6-9
[6]Msijisumbue kwa neno lo lote; bali katika kila neno kwa kusali na kuomba, pamoja na kushukuru, haja zenu na zijulikane na Mungu.
Be careful for nothing; but in every thing by prayer and supplication with thanksgiving let your requests be made known unto God.
[7]Na amani ya Mungu, ipitayo akili zote, itawahifadhi mioyo yenu na nia zenu katika Kristo Yesu.
And the peace of God, which passeth all understanding, shall keep your hearts and minds through Christ Jesus.
[8]Hatimaye, ndugu zangu, mambo yo yote yaliyo ya kweli, yo yote yaliyo ya staha, yo yote yaliyo ya haki, yo yote yaliyo safi, yo yote yenye kupendeza, yo yote yenye sifa njema; ukiwapo wema wo wote, ikiwapo sifa nzuri yo yote, yatafakarini hayo.
Finally, brethren, whatsoever things are true, whatsoever things are honest, whatsoever things are just, whatsoever things are pure, whatsoever things are lovely, whatsoever things are of good report; if there be any virtue, and if there be any praise, think on these things.
[9]Mambo mliyojifunza kwangu na kuyapokea, na kuyasikia na kuyaona kwangu, yatendeni hayo; na Mungu wa amani atakuwa pamoja nanyi.
Those things, which ye have both learned, and received, and heard, and seen in me, do: and the God of peace shall be with you.
3.UWAKILI KWA AINA ZAKE HASA MALI NA FEDHA ZAPASWA KUBARIKIWA Malaki 3:8-10
[8]Je! Mwanadamu atamwibia Mungu? Lakini ninyi mnaniibia mimi. Lakini ninyi mwasema, Tumekuibia kwa namna gani? Mmeniibia zaka na dhabihu.
Will a man rob God? Yet ye have robbed me. But ye say, Wherein have we robbed thee? In tithes and offerings.
[9]Ninyi mmelaaniwa kwa laana; maana mnaniibia mimi, naam, taifa hili lote.
Ye are cursed with a curse: for ye have robbed me, even this whole nation.
[10]Leteni zaka kamili ghalani, ili kiwemo chakula katika nyumba yangu, mkanijaribu kwa njia hiyo, asema BWANA wa majeshi; mjue k**a sitawafungulia.4 KAZI

Address

White House
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Hakuna gumu Mbele za Mungu wa mbinguni. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Hakuna gumu Mbele za Mungu wa mbinguni.:

Shortcuts

Share