Zone Veterans Mbezi Msigani

Zone Veterans Mbezi Msigani Zone Veterans Ni kikundi cha hiari chenye Lengo la kufanya shughuli mbalimbali za kiuchumi na kijami

Focus ⚽⚽⚽
25/11/2022

Focus ⚽⚽⚽

Next game Vs Malambamawili Veterans 10/7.. Uwanja wa Zone Msigani
07/07/2022

Next game Vs Malambamawili Veterans 10/7.. Uwanja wa Zone Msigani

Captain Allen akiwa na Bruno Fernandez beki wa mpira, Leo wameingoza Zone Veterans kwenye ushindi wa goli 7-2 dhidi ya n...
07/07/2022

Captain Allen akiwa na Bruno Fernandez beki wa mpira, Leo wameingoza Zone Veterans kwenye ushindi wa goli 7-2 dhidi ya ndugu zetu Family Friends.

07/07/2022

Allen,Manyuka, Danny & Orah ⚽⚽⚽⚽
07/07/2022

Allen,Manyuka, Danny & Orah ⚽⚽⚽⚽

Manyuka & Oppa ⚽⚽⚽
07/07/2022

Manyuka & Oppa ⚽⚽⚽

Allen Kinyaiya Teacher amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa week, Allen amefunga goli moja na kutoa pasi mbili za magoli.K...
20/02/2022

Allen Kinyaiya Teacher amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa week, Allen amefunga goli moja na kutoa pasi mbili za magoli.Kama ilivyo kawaida yetu tumempa zawadi ya pea moja ya viatu k**a chachu ya kuendelea kufanya vizuri.
Hongera Teacher

Yeesss! Mapema leo tulifanikisha zoezi letu la kila jumapili kuweka miili yetu sawa.Hakika limefanikiwa kwa asilimia mia...
20/02/2022

Yeesss! Mapema leo tulifanikisha zoezi letu la kila jumapili kuweka miili yetu sawa.Hakika limefanikiwa kwa asilimia mia.Tuwaambie tu wapinzani wetu watakao hitaji mechi na sisi wajipange

21/04/2019
Mambo yakizidi kupamba moto kuelekea siku ya pasaka, Mambo kadhaa yaliafikiwa ikiwiemo kumpendekeza mgeni wetu rasmi wa ...
14/04/2019

Mambo yakizidi kupamba moto kuelekea siku ya pasaka, Mambo kadhaa yaliafikiwa ikiwiemo kumpendekeza mgeni wetu rasmi wa siku hiyo pamoja na kuupokea muhuri wa kikundi na tulihitimisha kwa kupanga bajeti ya ya siku hiyo... Shukurani kwa father Mwita, Mr Maembe, Mwanasheria Deco,Kiungo mkongwe Shiraz,Ollah,John,pamoja na Mzee mwenye location zake Flava..

Mipango,mikakati pamoja na michango juu ya uzinduzi wa jezi zetu mpya zitakazozinduliwa siku ya sikukuu ya pasaka ukiend...
12/04/2019

Mipango,mikakati pamoja na michango juu ya uzinduzi wa jezi zetu mpya zitakazozinduliwa siku ya sikukuu ya pasaka ukiendelea chini ya kiongozi wetu ndugu Shiraz Hamis Mkwizu Jr..

Address

Zone Mbezi Msigani
Dar Es Salaam
16114

Telephone

+255627257184

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Zone Veterans Mbezi Msigani posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Zone Veterans Mbezi Msigani:

Share

Category