Ngurumo za Simba

Ngurumo za Simba Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Ngurumo za Simba, Sports Event, tegeta wazo, Dar es Salaam.

page yetu itahusiana na habari za Michezo mbalimbali na utamaduni wakitanzania tupo hapa kupeana habari motomoto pia kukujuza mahusiano ya ngurumo za simba na simba sport club, jua meeengi kuhusu ushabiki na uwanachama wa simba kupitia ngurumo za simba

RATIBA YA MECHI ZILIZOBAKI ZA SIMBA 01. TRA Machi 2202 . Coastal April 0203. Azam April 0504. Namungo April 1505. JKT  A...
24/03/2026

RATIBA YA MECHI ZILIZOBAKI ZA SIMBA

01. TRA Machi 22

02 . Coastal April 02

03. Azam April 05

04. Namungo April 15

05. JKT April 19

06. Prisons April 29

07. Yanga Mei 03

08. Mashujaa Mei 07

09. Coastal Mei 16

10. Dodoma Mei 20

11. Pamba Mei 24

12. Mbeya City Mei 28

13. Mtibwa Juni 11

14. SBS Juni 15

15. KMC Juni 18

16. TRA - ????

RATIBA YA MECHI ZILIZOBAKI ZA YANGA

01. Mtibwa Machi 21

02. Prisons April 04

03. Pamba April 08

04. Mbeya April 16

05. KMC April 19

06. Coastal April 30

07. Simba Mei 03

08. Dodoma Mei 06

09. SBS Mei 15

10. Namungo Mei 19

11. Mashujaa Mei 23

12. Azam Juni 11

13. TRA Juni 15

14. JKT Juni 18

Nanii katisha apo ebu tuambie mwaga comments zako
24/03/2026

Nanii katisha apo ebu tuambie mwaga comments zako

Matukio ya wiki
04/03/2026

Matukio ya wiki

04/03/2026

Vpe ww unasemaje mm nasema ni mashine yakupma vinasaba je wewe uko pamoja na Mimi au na msemaji hodar kutokea dunian

02/03/2026

Baba Ester

Kuteleza sio kuangukaa ilaa mjue tofaut ya shortcut na long way       EBU NIPE FORMULA
08/02/2026

Kuteleza sio kuangukaa ilaa mjue tofaut ya shortcut na long way
EBU NIPE FORMULA

Hakuna atakimoja kakikamilisha Wana SIMBA tunatakiwa kuwa MAKINI  tuskosee tenaaa
15/12/2025

Hakuna atakimoja kakikamilisha Wana SIMBA tunatakiwa kuwa MAKINI tuskosee tenaaa

  hili ndo tatizo huwez kivunja kiungo uingoze mshambuliaji au ndo umebeti ss tunaumia ww mzgo imeingia na mshaara unain...
07/12/2025

hili ndo tatizo huwez kivunja kiungo uingoze mshambuliaji au ndo umebeti ss tunaumia ww mzgo imeingia na mshaara unaingia
Kwa upuuzi huu unafikir ulikua unawashauri nn makocha wakigeni kma sio kuwapotosha

Kikosi cha leo.
30/11/2025

Kikosi cha leo.

Mimi k**a mwana Simba kwenye makundi ya cuf champion 🏆 league kufungwa walaaa hakunitoi mchezoni  kikubwa niwaombe viong...
24/11/2025

Mimi k**a mwana Simba kwenye makundi ya cuf champion 🏆 league kufungwa walaaa hakunitoi mchezoni kikubwa niwaombe viongoz wangu kuungana na wanachama wote kwa pamoja tukaitoharishe lupaso ( KWAMKAPA) kwani pale sio buree clear goal 4 mara imegonga BESELA , nnje ya NYAVU mpira umeptia pembeni kidogoooo ma tunayaona magoli tushainuka kushangiliaa afu tunafungwa kizembe tuu huku tumefanyiwa faulo.
WANASIMBA TUNAITAJI NGUVU YA ZIADA NA KUJITOA KWA HALI NA MALI.
Mimi naipenda Simba yangu
Nguvu mojaaa

Kikosi cha Mnyama.Taarifa za kila muda kuhusu mchezo zitatolewa kupitia Simba App.
23/11/2025

Kikosi cha Mnyama.

Taarifa za kila muda kuhusu mchezo zitatolewa kupitia Simba App.

Kikosi Cha leo Mungu inarikiii SIMBAmungu ibariki TANZANIA
19/10/2025

Kikosi Cha leo
Mungu inarikiii SIMBA
mungu ibariki TANZANIA

Address

Tegeta Wazo
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ngurumo za Simba posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Ngurumo za Simba:

Share

Category