CVN sports

CVN sports Health caretaker

Tutafute hela TBC sio channel ya Mpira 🀣🀣
18/01/2026

Tutafute hela TBC sio channel ya Mpira 🀣🀣

Big Day Big Save in Final ⚽
18/01/2026

Big Day Big Save in Final ⚽

We huogopi!!!!YANGA SCβœ…
08/10/2024

We huogopi!!!!

YANGA SCβœ…

Sema ubaya ubwelaSimba SC Tanzania
08/10/2024

Sema ubaya ubwela

Simba SC Tanzania

Msimbazi wafunga usajili kibabe 🦁🦁πŸ”₯Acha ligi ianze tu tuone watu wanavyopasuka huko 🀣🀣Welcome LEONEL ATE A to Simba SC T...
16/08/2024

Msimbazi wafunga usajili kibabe 🦁🦁πŸ”₯

Acha ligi ianze tu tuone watu wanavyopasuka huko 🀣🀣

Welcome LEONEL ATE A to Simba SC Tanzania

NB: Naambiwa anafunga kulia anatoa assist kushoto


With Ally Kamwe – I just made it onto their weekly engagement list by being one of their top engagers! πŸŽ‰
15/08/2024

With Ally Kamwe – I just made it onto their weekly engagement list by being one of their top engagers! πŸŽ‰

Nyanda mdaka mateso atua msimbazi 🦁🦁πŸ”₯Wanalunyasi bado hawajamaliza ni mwendo wa kushusha vyuma, ni mwendo wa marasta πŸ™ŒπŸ™Œ ...
02/08/2024

Nyanda mdaka mateso atua msimbazi 🦁🦁πŸ”₯

Wanalunyasi bado hawajamaliza ni mwendo wa kushusha vyuma, ni mwendo wa marasta πŸ™ŒπŸ™Œ Welcome MOUSSA CAMARA to Simba SC Tanzania

NB: Naambiwa amekuja kuzuia mvurugano msimbazi, kipa anadaka mpaka anadaka tena🦁🦁🦁πŸ”₯ Hallaaaa msimbazi


Wazee wa supu bado wanapambana kujaza uwanjaπŸ”°πŸ”°Wananchi Leo malizeni kazi bhna muwafunge mdomo wale wazee wa mwituni,🀣🀣NB...
02/08/2024

Wazee wa supu bado wanapambana kujaza uwanjaπŸ”°πŸ”°

Wananchi Leo malizeni kazi bhna muwafunge mdomo wale wazee wa mwituni,🀣🀣

NB: Hakuna chupli chupli WANANCHI. Hallaaaa msimbazi 🦁🦁


⚽⚽⚽ TUZO ZA  TFF 2023-2024 ⚽⚽⚽1.🌟 Mfungaji bora wa Ligi kuu ya NBC Premier Leagua βœ…οΈ Stephanie Aziz Ki - Yanga SC 2.🌟Mfu...
01/08/2024

⚽⚽⚽ TUZO ZA TFF 2023-2024 ⚽⚽⚽

1.🌟 Mfungaji bora wa Ligi kuu ya NBC Premier Leagua
βœ…οΈ Stephanie Aziz Ki - Yanga SC

2.🌟Mfungaji bora wa Kombe la CRDB Federation Cup
βœ…οΈ Clement Mzize - Yanga SC

3.🌟 Kocha bora wa msimu kwa wanawake
βœ…οΈ Juma Mgunda - Simba Queen

4.🌟 Kocha Bora wa Msimu kwa Wanaume
βœ…οΈ Migel Gamondi - Yanga SC

5.🌟 Mchezaji bora wa msimu Chipukizi kwa wanawake
βœ…οΈ Ester Maseke - Baobao quees

6.🌟 Mchezaji bora wa msimu Chipukizi kwa Wanaume
βœ…οΈ Shomary Rahmu - KMC

7.🌟 Mwamuzi bora wa msimu Ligi kuu ya Wanawake
βœ…οΈ Amina Kyando

8.🌟Mwamuzi bora wa msimu ligi kuu ya Wanaume
βœ…οΈ Ahmed Arajiga

9.🌟 Golikipa bora wa Ligi ya CRDB Federation Cup
βœ…οΈ Djigui Diara - Yanga SC

10.🌟 Golikipa Bora wa Msimu Ligi kuu ya Wanawake
βœ…οΈ Caloline - Simba SC

11.🌟 Golikipa bora wa msimu Ligi kuu ya Wanaume
βœ…οΈ Ley Matampi - Coatal Union

12.🌟 Beki bora wa Msimu Ligi kuu ya Wanaume NBC
βœ…οΈ Ibrahim Hamad Bacca - Yanga SC

13.🌟 Kiungo Bora wa Msimu Ligi kuu ya Wanaume NBC
βœ…οΈ Stephanie Aziz Ki - Yanga SC

14.🌟 Goli bora la msimu ligi kuu ya NBC premier Leagua
βœ…οΈ Kipre Jr - Azam FC

15.🌟 Mchezaji bora wa kwa Wanawake anayecheza Ligi ya Njee
βœ…οΈ Aisher Masaka - BK Hacken ya Sweden

16.🌟 Tuzo ya Mchezaji bora kwa Wanaume anayecheza Ligi ya Njee
βœ…οΈ Mbwana Ally Samata - PAOK Ya Ugiriki

17.🌟 Mchezaji bora wa NBC Championship
βœ…οΈ Edger William - KN Gold

18.🌟 Mchezaji bora wa CRDB Federation Cup
βœ…οΈ Feisal Saalum Feitoto - Azam FC

19.🌟 Mchezaji bora wa msimu ligi kuu ya Wanawake
βœ…οΈ Aisha Mnuka - Simba Queen

20.🌟 Mchezaji bora wa wa msimu Ligi kuu ya Wanaume
βœ…οΈ Stephanie Aziz Ki - Yanga SC

21.🌟Timu yenye nidhamu ligi kuu NBC wanaume
βœ… Mtibwa sugar

22.🌟Timu yenye nidhamu ligi kuu NBC wanawake
βœ… Bunda queens

23.🌟 Kikosi Bora cha msimu Ligi kuu ya Wanaume
1. Ley Matampi Coastal Union
2. Yao Kwassi - Yanga SC
3. Mohamed Hussein - Simba SC
4. Ibrahim Bacca - Yanga SC
5. Dickson Job - Yanga SC
6. Mudathir Yahya - Yanga SC
7. Maxi Nzengeli - Yanga SC
8. Feisal Saalum - Azam FC
9. Waziri Jr - KMC
10. Ki Aziz - Yanga SC
11. Kipre Jr - Azam FC


Wenye Timu Yao tayari washamaliza kazi ⚽πŸ”₯πŸ”₯Wanasimba kwasasa wanasubiri tu tarehe 3 wakaenjoy then wasubiri ubingwa 🦁🦁🦁NB...
31/07/2024

Wenye Timu Yao tayari washamaliza kazi ⚽πŸ”₯πŸ”₯

Wanasimba kwasasa wanasubiri tu tarehe 3 wakaenjoy then wasubiri ubingwa 🦁🦁🦁

NB: hii ndo wanaita UBAYA UBWELA


Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when CVN sports posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category