YANGA DAMU

YANGA DAMU Daima Mbele nyuma mwiko

25/02/2026
Goal Machine Prince Dube anawasubiria Gwantanamo
25/02/2026

Goal Machine Prince Dube anawasubiria Gwantanamo

25/02/2026

πŸ† πŸ•˜ Dak 63

Yanga 3️⃣ - 0️⃣ Jkt Tanzania
⚽️ Mudathir
🏟 Kmc Complex


25/02/2026

πŸ† πŸ•˜ Dak 60

Yanga 2️⃣ - 0️⃣ Jkt Tanzania
⚽️ Depu
🏟 Kmc Complex


π–π€πŠπ€π‹π€ 𝐖𝐀 πŽπŠπ„π‹π‹πŽ π€π“πŽπ€ ππ„ππŽWakala wa wachezaji tokea nchini Uganda Sultan Atubo ambaye anamsimamia nyota mpya wa klabu ya...
25/02/2026

π–π€πŠπ€π‹π€ 𝐖𝐀 πŽπŠπ„π‹π‹πŽ π€π“πŽπ€ ππ„ππŽ
Wakala wa wachezaji tokea nchini Uganda Sultan Atubo ambaye anamsimamia nyota mpya wa klabu ya Yanga Allan Okello ameweka wazi kuwa Okello anafurahia maisha ya Yanga.

"Okello anaifurahia Yanga na wao wanamfurahia, kwasasa yupo kwenye mazingira na level tofauti, sio sawa na alivyokuwa Uganda".

"Anajua, kujiunga na klabu kubwa k**a Yanga kunakuja na Pressure, ila anauamini uwezo wake"

Sultan Atubo - Wakala wa Allan Okello

25/02/2026

Klabu ya Simba Sc imeporomoka kutoka nafasi ya tano mpaka nafasi ya 8 kwenye viwango vya ubora wa vilabu barani Afrika ndani ya miaka mitano iliyopita vilivyotoka baada ya kutamatika kwa hatua ya makundi ya michuano ya CAF kwa msimu wa 2025/26.

Simba Sc ipo nafasi ya nane ikiwa na pointi 38 huku mahasimu wao, Young Africans Sc wakiwa nafasi ya 10 baada ya kukusanya pointi 35 kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita. Azam FC na Singida Black Stars wapo nafasi ya 35 kila mmoja akiwa na pointi 5.

1. πŸ‡ͺπŸ‡¬ Al Ahly - 66 pts
2. πŸ‡ΏπŸ‡¦ Sundowns - 58 pts
3. πŸ‡ΉπŸ‡³ Esperance Tunis - 53 pts
4. πŸ‡²πŸ‡¦ RS Berkane - 52 pts
5. πŸ‡ͺπŸ‡¬ Pyramids - 48 pts
6. πŸ‡ΈπŸ‡© Al Hilal - 39 pts
7. πŸ‡ͺπŸ‡¬ Zamalek - 39 pts
πŸ–. πŸ‡ΉπŸ‡Ώ π’π’π¦π›πš - πŸ‘πŸ– 𝐩𝐭𝐬
9. πŸ‡©πŸ‡Ώ USMA - 37 pts
𝟏𝟎. πŸ‡ΉπŸ‡Ώ 𝐘𝐚𝐧𝐠𝐚 - πŸ‘πŸ“ 𝐩𝐭𝐬

Viingilio vya mchezo wetu wa leo dhidi ya JKT TanzaniaπŸ”°πŸ’ͺ🏽
25/02/2026

Viingilio vya mchezo wetu wa leo dhidi ya JKT TanzaniaπŸ”°πŸ’ͺ🏽


FT’ |   Namungo FC 0 πŸ†š 1 Young Africans SC
22/02/2026

FT’ |

Namungo FC 0 πŸ†š 1 Young Africans SC


Next: AS FAR vs YANGA SC Februari 07, 2026CAF CL…!
03/02/2026

Next: AS FAR vs YANGA SC

Februari 07, 2026

CAF CL…!

𝐅𝐓 |   Young Africans SC 1 πŸ†š 1 Al Ahly
31/01/2026

𝐅𝐓 |

Young Africans SC 1 πŸ†š 1 Al Ahly


Address

1334553565
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when YANGA DAMU posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category