Michezo live

Michezo live Soma Makala Za Wachezaji/Matukio ⚽️
Rekodi Mbalimbali Za Kimichezo/ Future Star Players. Taarifa Za Michezo/Usajiri. ✅ ALL ABOUT FOOTBALL
(4)

🚨 𝗥𝗔𝗦𝗠𝗜: Hiki ndicho kikosi cha Ufaransa cha Kombe la Dunia 2026 🇫🇷💫Kolo Muani ❌Eduardo Camavinga ❌
14/05/2026

🚨 𝗥𝗔𝗦𝗠𝗜: Hiki ndicho kikosi cha Ufaransa cha Kombe la Dunia 2026 🇫🇷💫

Kolo Muani ❌
Eduardo Camavinga ❌

🚨☺️Baada ya kumalizika kwa Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, Paris Saint-Germain (PSG) inakusudia kuanzisha mazungumzo ...
14/05/2026

🚨☺️Baada ya kumalizika kwa Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, Paris Saint-Germain (PSG) inakusudia kuanzisha mazungumzo rasmi na Atlético Madrid kuhusu uwezekano wa kumsajili Julián Álvarez, mshambuliaji wa kimataifa wa Argentina.

Rasmi: Orodha ya wachezaji wanaowania tuzo ya Mchezaji Bora Wa Msimu EPL 2025/2026:Bruno Fernandes GabrielMorgan Gibbs-W...
14/05/2026

Rasmi: Orodha ya wachezaji wanaowania tuzo ya Mchezaji Bora Wa Msimu EPL 2025/2026:

Bruno Fernandes
Gabriel
Morgan Gibbs-White
Erling Haaland
David Raya
Declan Rice
Antoine Semenyo
Igor Thiago

Nani Anastahili Hii Tuzo ?

14/05/2026

Top 5 ya Panenka Zilizofeli Vibaya Zaidi Duniani

✅🏆Arsenal wakibeba ubingwa wa Epl msimu huu Crystal Palace watapata kiasi kisichopungua £10m kwasababu ya EzeCrystal Pal...
13/05/2026

✅🏆Arsenal wakibeba ubingwa wa Epl msimu huu Crystal Palace watapata kiasi kisichopungua £10m kwasababu ya Eze

Crystal Palace wana Game na Manchester City leo na watamaliza na Arsenal

🇫🇷🤯 Nafasi alizocheza 𝗦𝗘𝗡𝗡𝗬 𝗠𝗔𝗬𝗨𝗟𝗨 (19) chini ya Luis Enrique…“all-rounder” ina maana ya mchezaji anayeelezwa kuwa “flex...
13/05/2026

🇫🇷🤯 Nafasi alizocheza 𝗦𝗘𝗡𝗡𝗬 𝗠𝗔𝗬𝗨𝗟𝗨 (19) chini ya Luis Enrique…

“all-rounder” ina maana ya mchezaji anayeelezwa kuwa “flexible” – anaweza kucheza katika nafasi nyingi tofauti kwenye timu bila kupungua ubora.

13/05/2026

TOP 5 Ya Mastaa wa Soka Waliostaafu Bila Kombe la UEFA Champions League.

OFFICIAL 🔴: Nicco William Jr atakuwa nje Kwa kipindi chote Cha msimu kilichosalia baada ya kupata jeraha baya kwenye mch...
12/05/2026

OFFICIAL 🔴: Nicco William Jr atakuwa nje Kwa kipindi chote Cha msimu kilichosalia baada ya kupata jeraha baya kwenye mchezo uliopita.

Lakini anatarajiwa kuwa timamu kutumika kwenye mashindano ya Kombe la Dunia akiwa na kikosi Cha timu ya taifa ya Spain 🇪🇦 chini ya Kocha Luis Dela Fuentes.

Goal Insight

FOLLOW US.

✅💔Ben White ataikosa fainali ya UEFA Champions League na pia hatashiriki katika mechi zijazo za Arsenal hadi mwisho wa m...
12/05/2026

✅💔Ben White ataikosa fainali ya UEFA Champions League na pia hatashiriki katika mechi zijazo za Arsenal hadi mwisho wa msimu.

Nyota huyo wa Uingereza amepata jeraha la goti, na anatarajiwa kufanyiwa uchunguzi zaidi wa kitabibu (medical assessments) ili kubaini kiwango cha jeraha lake na muda wa kupona.

Matokeo ya vipimo hivyo ndiyo yatakayothibitisha k**a ataweza kujumuishwa kwenye kikosi cha Kombe la Dunia au la. 💔⚽

🚨 BREAKING: Dani Carvajal hayupo Kwenye kikosi cha Hispania kwa ajili ya Kombe la Dunia.Amechwa Kwenye orodha ya awali y...
12/05/2026

🚨 BREAKING: Dani Carvajal hayupo Kwenye kikosi cha Hispania kwa ajili ya Kombe la Dunia.

Amechwa Kwenye orodha ya awali ya wachezaji 55 walioteuliwa na Luis de la Fuente. 💔🇪🇸

Mwisho wa enzi.

"Hivi kwenye French league 1, Dembs kacheza hata mechi  25 kweli? Kaanza hata mechi 15 kweli? Then how? I think pale lea...
12/05/2026

"Hivi kwenye French league 1, Dembs kacheza hata mechi 25 kweli? Kaanza hata mechi 15 kweli? Then how? I think pale league 1 kuna watu walistahili hii tuzo zaidi yake."

Je Yupo Sahihi na k**a yupo sahihi nani alistahili hii tuzo ?

Address

Kijitonyama
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Michezo live posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Michezo live:

Share

Category