04/12/2024
πΆ Ulikuwa ni usiku usiosahaulika kwenye Haier Ndio Maisha Music Festival!
π Kuanzia performances za ukweli mpaka nyakati za kukonga moyo, tulijumuika pamoja kusherehekea muziki, utamaduni na ubunifu.
π Shukrani za dhati ziende kwa wote waliojumuika pamoja nasi kufanikisha tamasha hili! Mpaka wakati ujao, tuendeleze muamko huu huu! ππΊ