Samatta Cup

Samatta Cup Tournament

Here is the Swahili translation:Katika fainali kuu ya Samatta Nishati Safi Cup, kila timu iliyofuzu ilipokea majiko ya m...
20/11/2025

Here is the Swahili translation:

Katika fainali kuu ya Samatta Nishati Safi Cup, kila timu iliyofuzu ilipokea majiko ya mitungi 35 ya kupikia kwa nishati safi β€” jumla ya mitungi 70 iliyojazwa gesi ya kilo 6, kwa msaada mkubwa kutoka Oryx Energies Tanzania.
Jukumu hili linaendeleza dhamira yetu ya kuhamasisha upishi safi kupitia mchezo wa soka, na kuwezesha jamii ndani na nje ya uwanja.

Sasa tunajiandaa kwa msimu ujao mwezi Aprili 2026 β€” na tunakaribisha washirika, wadau na mashabiki kujiunga nasi katika safari hii kuelekea maisha safi na yenye afya zaidi.

Hongera Benson kwa Kushinda Shabiki bora, Kila la kheri kwenye Matumizi ya Nishati safi kutoka  πŸ‘  Imedhaminiwa na      ...
27/09/2025

Hongera Benson kwa Kushinda Shabiki bora, Kila la kheri kwenye Matumizi ya Nishati safi kutoka πŸ‘

Imedhaminiwa na


27/09/2025
Hongera Shabani Kado kwa Kushinda Shabiki bora, Kila la kheri kwenye Matumizi ya Nishati safi kutoka  πŸ‘  Imedhaminiwa na...
22/09/2025

Hongera Shabani Kado kwa Kushinda Shabiki bora, Kila la kheri kwenye Matumizi ya Nishati safi kutoka πŸ‘

Imedhaminiwa na


Aman Muhando ameibuka mchezaji bora wa Kwenye Mchezo kati ya Mkata FC VS Inter Mwandege na amekabidhiwa zawadi ya Mtungi...
22/09/2025

Aman Muhando ameibuka mchezaji bora wa Kwenye Mchezo kati ya Mkata FC VS Inter Mwandege na amekabidhiwa zawadi ya Mtungi wa Gesi Kutoka

Endelea Kufuatilia Michuano ya Ligi ya kwenye Uwanja wa Mbagala Rangi Tatu, Dar es salaam.

Hongera Ibrahim Malalo kwa Kushinda Shabiki bora, Kila la kheri kwenye Matumizi ya Nishati safi kutoka  πŸ‘  Imedhaminiwa ...
18/09/2025

Hongera Ibrahim Malalo kwa Kushinda Shabiki bora, Kila la kheri kwenye Matumizi ya Nishati safi kutoka πŸ‘

Imedhaminiwa na


Aman Muhando ameibuka mchezaji bora wa Kwenye Mchezo kati ya Gussepe FC VS PSG na amekabidhiwa zawadi ya Mtungi wa Gesi ...
18/09/2025

Aman Muhando ameibuka mchezaji bora wa Kwenye Mchezo kati ya Gussepe FC VS PSG na amekabidhiwa zawadi ya Mtungi wa Gesi Kutoka

Endelea Kufuatilia Michuano ya Ligi ya kwenye Uwanja wa Mbagala Rangi Tatu, Dar es salaam.

Hongera Kinje Musa kwa Kushinda Shabiki bora, Kila la kheri kwenye Matumizi ya Nishati safi kutoka  πŸ‘  Imedhaminiwa na  ...
17/09/2025

Hongera Kinje Musa kwa Kushinda Shabiki bora, Kila la kheri kwenye Matumizi ya Nishati safi kutoka πŸ‘

Imedhaminiwa na


Muda Gwaya ameibuka Shabiki bora wa Kwenye Mchezo kati ya Bezdad FC VS Sun Soccer Center na amekabidhiwa zawadi ya Mtung...
17/09/2025

Muda Gwaya ameibuka Shabiki bora wa Kwenye Mchezo kati ya Bezdad FC VS Sun Soccer Center na amekabidhiwa zawadi ya Mtungi wa Gesi Kutoka

Endelea Kufuatilia Michuano ya Ligi ya kwenye Uwanja wa Mbagala Rangi Tatu, Dar es salaam.

πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
24/08/2025

πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

Njoo Rangi TatuKipaji changu, Mtaji wangu…                  Β 
01/08/2025

Njoo Rangi Tatu

Kipaji changu, Mtaji wangu…



Β 

Address

8226
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Samatta Cup posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category