Habari za michezo

Habari za michezo kutoa habari za michezo hususani soka kutoka pande zote za ulimwengu
kama vile ratiba za ligi mbalimbali,matokeo ya mechi,usajili na habari nyingine nyingi.

15/03/2026

Refa kawekwa kati bila kujitambua

FT | Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League)πŸ‡²πŸ‡¦ RS Berkane 1-1 Al Hilal πŸ‡ΈπŸ‡©βš½ Roof (dakika ya 12’)⚽ Chouiar (90+8’)M...
15/03/2026

FT | Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League)
πŸ‡²πŸ‡¦ RS Berkane 1-1 Al Hilal πŸ‡ΈπŸ‡©
⚽ Roof (dakika ya 12’)
⚽ Chouiar (90+8’)
Mchezo ulikuwa na msisimko mkubwa mwishoni, ambapo RS Berkane walipata bao la kusawazisha dakika za mwisho kabisa za muda wa nyongeza.
Sasa matokeo ni sare 1-1, na timu zote zinaelekea kwenye mchezo wa marudiano utakaochezwa Kigali. πŸ”₯⚽

K**a uvyoonekana msimamo wa EPL tembo bado yupo juu hataki kushuka
14/03/2026

K**a uvyoonekana msimamo wa EPL tembo bado yupo juu hataki kushuka

πŸŽ™οΈ Pep Guardiola kuhusu mbio za ubingwa wa Premier League:β€œBado tuna mchezo mmoja mkononi, na pia tuna mchezo wa nyumban...
14/03/2026

πŸŽ™οΈ Pep Guardiola kuhusu mbio za ubingwa wa Premier League:
β€œBado tuna mchezo mmoja mkononi, na pia tuna mchezo wa nyumbani dhidi ya Arsenal F.C., kwa hiyo lazima tujaribu kupambana hadi MWISHO.” πŸ’™
β€œK**a haitowezekana, tutawapongeza mabingwa, lakini lazima tujaribu kupambana...” πŸ† Arsenal kazi kwenu

🚨 Taarifa Mpya: Arsenal F.C. sasa wana pointi 9 zaidi ya Manchester City F.C. kwenye msimamo wa Premier League! πŸ˜²πŸ“ˆ
14/03/2026

🚨 Taarifa Mpya: Arsenal F.C. sasa wana pointi 9 zaidi ya Manchester City F.C. kwenye msimamo wa Premier League! πŸ˜²πŸ“ˆ

⏰️19' Anthony Gordon 🧿 Chelsea 0-1 Newcastle United β–ͺ️
14/03/2026

⏰️19' Anthony Gordon

🧿 Chelsea 0-1 Newcastle United β–ͺ️

Napoli anaweka mzani sawaDakika 50 Napoli 1 : Lecce 1
14/03/2026

Napoli anaweka mzani sawa
Dakika 50
Napoli 1 : Lecce 1

🚨 π‡π€ππ€π‘πˆ πŒππ˜π€: Kylian MbappΓ© amerudi kufanya mazoezi na mpira leo. πŸ”™βš½Inaashiria kuwa nyota huyo wa Real Madrid  anaendel...
14/03/2026

🚨 π‡π€ππ€π‘πˆ πŒππ˜π€: Kylian MbappΓ© amerudi kufanya mazoezi na mpira leo. πŸ”™βš½
Inaashiria kuwa nyota huyo wa Real Madrid anaendelea vizuri katika kupona na huenda akarudi uwanjani hivi karibuni.

🚨 Ujumbe wa Álvaro Arbeloa kwa wachezaji kocha wa Real Madridβ€œKatika klabu hii, tunasherehekea MAKOMBE, si ushindi wa me...
14/03/2026

🚨 Ujumbe wa Álvaro Arbeloa kwa wachezaji kocha wa Real Madrid
β€œKatika klabu hii, tunasherehekea MAKOMBE, si ushindi wa mechi tu. Hakuna kitu kilichokamilika ” πŸ’ͺπŸ»πŸ†

Kikosi cha Arsenal dhidi ya Everton
14/03/2026

Kikosi cha Arsenal dhidi ya Everton

23/01/2022

Burkina Faso wale watinga robo fainali baada ya kuwafunga Gabon kwenye mikwaju ya penati

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255624006061

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Habari za michezo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category