Sports Machine

Sports Machine This is the home of football

πŸ€”πŸ€”πŸ€”βœ…
16/05/2022

πŸ€”πŸ€”πŸ€”βœ…

Sven.....Matola ---kiukweli mmefanya uteuzi mzuri Sana wa  kikosi kila kona kumetimia tuitunze hii Team kitatusaidia kim...
13/07/2020

Sven.....Matola ---kiukweli mmefanya uteuzi mzuri Sana wa kikosi kila kona kumetimia tuitunze hii Team kitatusaidia kimataifa K**a ni maboresho yasizidi manne msimu ujao tutawaburuza Sana

Kunamwamba mmoja wakuitwa Chama kiukweli hii ndio engine ya Simba SC Tanzania yy ndie anaeamua  speed ya mechi akiwa uwa...
13/07/2020

Kunamwamba mmoja wakuitwa Chama kiukweli hii ndio engine ya Simba SC Tanzania yy ndie anaeamua speed ya mechi akiwa uwanjani huyu jamaa mm huwa namuita lubricant maana anafanya mtu uone mpira wa miguu ni kazi nyepesi Sana kituambacho sio kweli mpira ni kazi ngumu sana ila kwa chama anautumikisha mpira na unamtii kiukweli chama ndie kiungo bora kwa sasa kwenye ligi kuu Tanzania bara Hakuna Becki anayetamani kumkaba huyu mwamba kiukweli chama anacheza huku akionyesha kiburi cha soka pia anaswaga ila nizile zenye faida kwa timu c k**a zile za Morison za kuonyesha dharau chama ni complete namba 10

Jana Simba SC Tanzania Kila mchezaji kacheza kwa nidhamu na utimamu wa hali ya juu tactics zilikuwa sahihi much approach...
13/07/2020

Jana Simba SC Tanzania Kila mchezaji kacheza kwa nidhamu na utimamu wa hali ya juu tactics zilikuwa sahihi much approach ilikuwa Good physical wachezaji walikuwa imara sana nidhamu ya hali ya juu everything Was fantastic kiukweli πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺwalikuwa imara Sana hongera Sana kwa bench LA ufundi Sven pamoja na matola mmefanya kila kitu ktk hali ya utulivu saikolojia za wachezaji zlikuwa poa Sana THITHIS IS SIMBA THIS IS SIMBAMTHIS IS SIMBA

Hongera sana mwamuzi kiukweli umefanya kazi yako ipasavyo atakae lalamika tukamfanyie vpimo vya akill well-done
13/07/2020

Hongera sana mwamuzi kiukweli umefanya kazi yako ipasavyo atakae lalamika tukamfanyie vpimo vya akill well-done

13/07/2020

Louis jose mickson leo umecheza ktk kiwango cha juu sana ww ni mtu na nusu kiukweli umetukosha Sana wanasimba umefunga goli lako la Kwanza kwenye derby with fantastic performance congratulations brother we love you so much keep it up all the best now we are going International so I'm hope you will help us 100

Jaman  kutokana  na mambo mengi ya kiuchumi  aliyo ipatia club ya arsenal  mzee Asern Wenger,lakin kashindwa tu kuwapati...
20/02/2017

Jaman kutokana na mambo mengi ya kiuchumi aliyo ipatia club ya arsenal mzee Asern Wenger,lakin kashindwa tu kuwapatia mashabiki furaha ya ubingwa wa ligi kuu na kombe la UEFA CHAMPIONS league je Wenger sasa anapaswa kuwaachia wengine waendeleze pale alipo ishia ama bado anaweza kupambana zaidi.........?

14/07/2016
Talent
12/07/2016

Talent

Portugal success 2016
11/07/2016

Portugal success 2016

Portugal  succeed to win the tittle 2016 in European cup of Nations
11/07/2016

Portugal succeed to win the tittle 2016 in European cup of Nations

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sports Machine posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Sports Machine:

Share

Category