Tanzania ROLE Model

Tanzania ROLE Model A national yearly campaign that gathers 17 contestants to represent our National Parks. We promote domestic tourism in Tanzania .

24/10/2016
The love you shown last night was indeed remarkable. Bless you much more Mcs  cleophanse
08/10/2016

The love you shown last night was indeed remarkable.
Bless you much more Mcs cleophanse

Meet Miss Adria Cleophace , MC         Huyu mwanadada kakulia katika media. Amefanya vipindi MLIMANI TV, TBC n.k na Sasa...
07/10/2016

Meet Miss Adria Cleophace , MC
Huyu mwanadada kakulia katika media.
Amefanya vipindi MLIMANI TV, TBC n.k na Sasa GLOBAL PUBLISHERS.
she's an icon to all girls who believe in

MASAA YAMEBAKI! Ile harambee iliyoandaliwa na kampeni ya MTV ijulikanayo k**a TANZANIA ROLE MODEL kuchangia wenzetu waat...
07/10/2016

MASAA YAMEBAKI!
Ile harambee iliyoandaliwa na kampeni ya MTV ijulikanayo k**a TANZANIA ROLE MODEL kuchangia wenzetu waathirika wa tetemeko la ardhi lililotokea kagera, Leo saa moja hadi nne usiku ndio itafana katika ukumbi wa MSASANI TOWER HALL .
Nje ya Viongozi wa serikali, wafanyabiashara, wasanii na wadau mbalimbali kuhudhuria, ROLE MODELS wata- present
Hifadhi zao za taifa, watatuonesha catwalks na vipaji kibao.
Karibuni nyotee
Tanzania yetu, Utalii wetu.
Suphian Juma
Msemaji - Tanzania Role Model.

Ni hapa Leo jioni tunakutana.        Saa moja jioni. Karibuni Sana
07/10/2016

Ni hapa Leo jioni tunakutana.

Saa moja jioni.
Karibuni Sana

Ndani ya Msasani Tower Hall kesho kutakuwa na presentations za hifadhi za taifa, talents, catwalks kutoka kwa role model...
06/10/2016

Ndani ya Msasani Tower Hall kesho kutakuwa na presentations za hifadhi za taifa, talents, catwalks kutoka kwa role models.
Karibuni nyote.

Unakosaje hili tukio muhimu? Wazalendo wote walioguswa na Tetemeko la ardhi kagera basi hii hapa inawahusu. Kutakwepo vi...
06/10/2016

Unakosaje hili tukio muhimu?
Wazalendo wote walioguswa na Tetemeko la ardhi kagera basi hii hapa inawahusu.
Kutakwepo viongozi wa serikali, asasi za kiraia, vyama vya siasa, wasanii na media Zote.
Tatizo lako, tatizo letu.
Nyote mnakaribishwa!!

Asante sana Mlimani TV na Radio kwa kutupatia fursa ya kuwaeleza umma wa kitanzania kuhusu harambee yetu ya kuchangia wa...
06/10/2016

Asante sana Mlimani TV na Radio kwa kutupatia fursa ya kuwaeleza umma wa kitanzania kuhusu harambee yetu ya kuchangia waathirika wa tetemeko la ardhi lililotokea mkoani Kagera.
Ni kesho Ijumaa tarehe 07 October 2016 Msasani Tower Hall kuanzia saa 1:30 jioni hadi 4:30 usiku .
Kiingilio ni buree
Tanzania yetu, Utalii wetu
Karibuni Sana.

On air now Mlimanitv Sjmc
06/10/2016

On air now Mlimanitv Sjmc

AUDITION AUDITION AUDITION Masaa machache yamebaki mchujo ufanyike wa models wapya watakaoungana na wenzao kuwa mabalozi...
02/10/2016

AUDITION AUDITION AUDITION
Masaa machache yamebaki mchujo ufanyike wa models wapya watakaoungana na wenzao kuwa mabalozi wa hifadhi za taifa.
Wahi sasa hivi

Hi Friends! Please share this great news as to everyone as possible. Thank you. 1 day to go
01/10/2016

Hi Friends!
Please share this great news as to everyone as possible.
Thank you.
1 day to go

Habari Tanzania. Unahisi wewe ni model bora wa k**e ?  Basi nafasi hii hapa kutimiza ndoto zako.
30/09/2016

Habari Tanzania.
Unahisi wewe ni model bora wa k**e ?
Basi nafasi hii hapa kutimiza ndoto zako.

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tanzania ROLE Model posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category