Wikiendi LIVE

Wikiendi LIVE WIKIENDI LIVE! is a unique and vibrant live music event in Dar es Salaam dedicated to showcasing tra

πŸ”₯ Baada ya uzinduzi rasmi wa video yake β€œTunatokaje Hapa”,  atapanda jukwaani Wikiendi Live kwa mara ya kwanza kabisa!Ji...
11/09/2025

πŸ”₯ Baada ya uzinduzi rasmi wa video yake β€œTunatokaje Hapa”, atapanda jukwaani Wikiendi Live kwa mara ya kwanza kabisa!

Jiandae kwa shoo kali itakayotikisa jukwaa la Wikiendi Live tarehe 26 & 27 Septemba 2025 hapa Nafasi Art Space. Hii itakuwa fursa ya kipekee kushuhudia utumbuizaji wa moja kwa moja kutoka kwa msanii mwenye sauti ya mabadiliko!

🎀 Usikose! Kuja ushuhudie burudani, nishati, na ujumbe wa kweli kupitia muziki wa Gloria M.

πŸ“ Nafasi Art Space | πŸ—“οΈ 26–27 Septemba | ⏰ Kuanzia saa 4 asubuhi hadi 4 usiku



βΈ»

πŸ‡¬πŸ‡§ English
πŸ”₯ After the official launch of her music video β€œTunatokaje Hapa”, is taking over the Wikiendi Live stage for the very first time!

Get ready for a lit performance during Wikiendi Live on 26th & 27th September 2025 at Nafasi Art Space – an unforgettable moment of music, passion, and powerful energy!

🎀 Don’t miss the chance to see Gloria M perform live, delivering both vibe and voice for change!

πŸ“ Nafasi Art Space | πŸ—“οΈ Sept 26–27 | ⏰ From 10AM to 10PM

πŸŽ₯✨ Calling All Content Creators & Influencers! ✨🎀Do you live for the lens? Thrive on storytelling? Bring vibes online an...
08/09/2025

πŸŽ₯✨ Calling All Content Creators & Influencers! ✨🎀
Do you live for the lens? Thrive on storytelling? Bring vibes online and offline?

WEEKEND LIVE is looking for YOU! πŸŽΆπŸ“Έ
Be part of a creative movement that blends music, art, food, dance & pure Dar vibes.
Whether you’re a TikToker, vlogger, blogger, photographer, or just love creating content β€” this is YOUR moment to shine.

🎯 We’re giving creators access to the experience, visibility & connections.
Ready to collaborate? Let’s make something unforgettable together.

πŸ‘‰ Apply now through the link in bio!

βΈ»β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”

🎨✨ Tunawaita Wabunifu wa Kidijitali na Ma-Influencer! βœ¨πŸ“±
Unaishi kwa kamera? Unapenda kuhadithia kupitia mitandao? Unaletaga vibes mtandaoni na mtaani?

WEEKEND LIVE inakuhitaji! πŸŽΆπŸ“·
Kuwa sehemu ya tukio la ubunifu lenye mchanganyiko wa muziki, sanaa, chakula, densi na vionjo vya Dar.
Iwe wewe ni TikToker, YouTuber, blogger, mpiga picha au unaunda content ya aina yoyote β€” Hii ni nafasi yako!

πŸ’« Tunawapa nafasi ya kuonekana, kushirikiana na kubadilisha taswira ya sanaa kupitia mitandao.

πŸ”— Jaza fomu kupitia link kwenye bio!




















🎢 Introducing Warriors from the East ( ) the award winning Afro Fusion band from Arusha bringing you Nile Blues: a power...
04/09/2025

🎢 Introducing Warriors from the East ( ) the award winning Afro Fusion band from Arusha bringing you Nile Blues: a powerful mix of African rhythms, reggae and jazz.
Warriors from the East will have a pre-event at the Goethe Institute on 19th September and will also perform live at Wikiendi Live.

🎺 Catch them live at – β€œKizamani Kisasa”
πŸ“ Nafasi Art Space
πŸ“… September 26 & 27, 2025
⏰ 10:00AM – Late



β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”

🎢 Tunawatambulisha Warriors from the East () bendi ya Afro Fusion yenye tuzo kutoka Arusha, wakileta Nile Blues: mchanganyiko wa midundo ya Kiafrika, reggae na jazz.
Warriors from the East watakuwa na pre-event pale Goethe Institute tarehe 19 Septemba na pia wataperform live kwenye Wikiendi Live. Usikose!

🎺 Waone live kwenye β€œKizamani Kisasa”
πŸ“ Nafasi Art Space
πŸ“… 26 & 27 Septemba 2025
⏰ Saa 4 asubuhi – Usiku

Introducing Malaika Tarumbeta Band ( )Malaika Tarumbeta Band brings the heat with explosive live blends of mnananda, bai...
04/09/2025

Introducing Malaika Tarumbeta Band ( )

Malaika Tarumbeta Band brings the heat with explosive live blends of mnananda, baikoko, and singeli powered by traditional drums, cultural instruments, and bold brass.

Expect pure energy, raw rhythm, and a celebration of Tanzanian sound like no other!

🎺 Catch them live at β€œKizamani Kisasa”
πŸ“ Nafasi Art Space
πŸ“… September 26 & 27, 2025
⏰ 10:00AM – Late



β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”

Tunawatambulisha Malaika Tarumbeta Band ( )

Malaika Tarumbeta Band wanawasha jukwaa kwa midundo ya nguvu ya mnananda, baikoko, na singeli wakitumia ngoma za asili na vifaa vya kitamaduni,bila kuacha tmaarumbeta. Hii ni burudani ya muziki wa asili kwa mtazamo wa kisasa.
Unaikosaje?

🎺 Waone Live kwenye β€œKizamani Kisasa”
πŸ“ Nafasi Art Space
πŸ“… 26 & 27 Septemba 2025
⏰ Saa 4 asubuhi – Usiku

🎀 Introducing Baba Kash and the Band ( )From the streets of Singeli to major festival stages, Baba Kash’s musical journe...
02/09/2025

🎀 Introducing Baba Kash and the Band ( )
From the streets of Singeli to major festival stages, Baba Kash’s musical journey began in 2003 and has grown into a powerful blend of Singeli and mchiriku rhythms.
After forming his band in 2022, they’ve lit up stages at Sauti za Busara Festival, Marafiki Music Festival, Ongala, Singeli Fest, and more.
Get ready for a high-energy performance of authentic Tanzanian sound and unstoppable passion!

🎢 Catch them live at
πŸ“ Nafasi Art Space
πŸ“… September 26 & 27, 2025
⏰ 10:00AM – Late



β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”

🎀 Tunamtambulisha Baba Kash na bendi yake ( )
Safari ya muziki ya Baba Kash ilianza mwaka 2003, ikichochewa na mapenzi yake katika mziki wa Bongo Flava na mchiriku.
Tangu kuanzisha bendi yake mwaka 2022, ameendelea kuvunja mipaka kwa kutumia mziki wa Singeli na mchiriku katika matamasha k**a Sauti za Busara Festival, Marafiki Music Festival, Ongala, Singeli Fest, na mengine mengi.
Jiandae kwa burudani kali isiyopimika!

🎢 Waone mubashara kwenye
πŸ“ Nafasi Art Space
πŸ“… 26 & 27 Septemba 2025
⏰ 10:00AM – Usiku

Introducing Kilimanjaro Band ( )From the Swahili coast to global stages, Kilimanjaro Band, also known as Wananjenje, has...
01/09/2025

Introducing Kilimanjaro Band ( )
From the Swahili coast to global stages, Kilimanjaro Band, also known as Wananjenje, has been setting stages ablaze since 1972 with their infectious mduara rhythms and unforgettable live energy. With over 50 years of legendary performances and timeless Tanzanian grooves, this is a show you don’t want to miss!
🎢 Catch them live at
πŸ“ Nafasi Art Space
πŸ“… September 26 & 27, 2025
⏰ 10:00AM – Late


β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”

Tunawatambulisha Kilimanjaro Band ( )
Kutoka pwani ya Tanga hadi majukwaa ya kimataifa, Kilimanjaro Band maarufu k**a Wananjenje wamekuwa wakiburudisha mashabiki tangu mwaka 1972 kwa mitindo yao ya kipekee ya mduara. Zaidi ya miaka 50 ya muziki wa asili wa Tanzania ni burudani ya kipekee isiyopaswa kukosa!
🎢 Waone mubashara kwenye
πŸ“ Nafasi Art Space
πŸ“… 26 & 27 Septemba 2025
⏰ 10:00AM – Usiku

Introducing Afro Mob (.mob )A dynamic dance collective blending African urban styles with singeli moves, Afro Mob lights...
25/08/2025

Introducing Afro Mob (.mob )A dynamic dance collective blending African urban styles with singeli moves, Afro Mob lights up stages across Tanzania and beyond. Known for their vibrant performances and creative choreography, they bring energy, rhythm, and cultural pride to every show.

Catch them live at 🎢πŸ”₯

πŸ“ Nafasi Art Space
πŸ“… September 26 & 27, 2025
⏰ 10:00AM – Late

\

β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”

Tunawatambulisha Afro Mob (.mob )Kikundi cha dansi chenye nguvu na ubunifu mkubwa, Afro Mob wanachanganya mitindo ya kisasa ya Kiafrika na Singeli asilia. Wamekuwa wakitumbuiza ndani na nje ya Tanzania, wakivutia mashabiki kwa miondoko yao ya kipekee na yenye kusisimua.

Njoo uone wakali hawa wakitikisa jukwaa la 🎢πŸ”₯

πŸ“ Nafasi Art Space
πŸ“… 26 & 27 Septemba 2025
⏰ 10:00AM – Usiku

Introducing Lumumba Theatre ( )A powerhouse of African contemporary music and traditional dance, Lumumba Theatre brings ...
20/08/2025

Introducing Lumumba Theatre ( )
A powerhouse of African contemporary music and traditional dance, Lumumba Theatre brings over 15 years of unforgettable performances to the stage. Known across Tanzania and internationally, their vibrant shows blend traditional Tanzanian rhythms with global musical influences.

Experience their magic live at 🎢πŸ”₯

πŸ“ Nafasi Art Space
πŸ“… September 26 & 27, 2025
⏰ 10:00AM – Late



βΈ»β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”

Tunawatambulisha Lumumba Theatre ( )
Wataalamu wa muziki wa kisasa wa Kiafrika na ngoma za asili, Lumumba Theatre wamekuwa wakitumbuiza kwa zaidi ya miaka 15 ndani na nje ya Tanzania. Wanajulikana kwa maonesho ya kusisimua yanayochanganya midundo ya Kitanzania na athari za kimataifa.

Waje kuona wakiliangaza jukwaa la 🎢πŸ”₯

πŸ“ Nafasi Art Space
πŸ“… 26 & 27 Septemba 2025
⏰ 10:00AM – Usiku

Introducing Chi Temu ( .temu ) A soulful singer/songwriter whose journey spans from the streets of Liverpool to the hear...
18/08/2025

Introducing Chi Temu ( .temu )
A soulful singer/songwriter whose journey spans from the streets of Liverpool to the heart of Dar es Salaam. With her raspy vocals and jazz-soul vibes, Chi has become a vibrant force in Tanzania’s music scene.

Catch her live at the ultimate fusion of heritage and sound β€” 🎢πŸ”₯

πŸ“ Nafasi Art Space
πŸ“… September 26 & 27, 2025
⏰ 10:00AM – Late



βΈ»β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”

Tunamtambulisha Chi Temu ( .temu )
Msanii wa muziki wa (soul) ambaye safari yake ya muziki imeanzia mitaa ya Liverpool hadi jiji la Dar es Salaam. Akiwa na sauti ya kipekee na hisia za jazz na soul, Chi ni sauti inayotikisa tasnia ya muziki Tanzania.

Usikose kumuona akiangaza jukwaa kwenye tamasha letu la 🎢πŸ”₯

πŸ“ Nafasi Art Space
πŸ“… 26 & 27 Septemba 2025
⏰ 10:00AM – Usiku

🌟 CALLING ALL VENDORS! | WITO KWA WAFANYABIASHARA! πŸŽͺAre you in the world of art, culture, food, or drinks?Do you want to...
24/06/2025

🌟 CALLING ALL VENDORS! | WITO KWA WAFANYABIASHARA! πŸŽͺ
Are you in the world of art, culture, food, or drinks?
Do you want to showcase your creative business at one of the biggest cultural events in Dar?
πŸ“ Wikiendi Live 2025 is happening 26–27 September at Nafasi Art Space – and we’re inviting YOU to join the movement!

🎢 Live Music | 🎨 Art | 🍲 Food | 🍹 Drinks | 🎭 Culture
Let’s celebrate together apply now Link in Bio.

πŸ“ Nafasi Art Space
πŸ—“οΈ Sept 26–27 | ⏰ 10am–10pm



β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”

🌟 WITO KWA WAFANYABIASHARA! | CALLING ALL VENDORS! πŸŽͺ
Unajihusisha na sanaa, utamaduni, chakula au vinywaji?
Unataka kuonesha biashara yako ya ubunifu kwenye tukio kubwa la kitamaduni jijini Dar?
πŸ“ Wikiendi Live 2025 inakuja tarehe 26–27 Septemba hapa Nafasi Art Space – na tunakualika uwe sehemu ya tukio!

🎢 Muziki Mubashara | 🎨 Maonyesho ya Sanaa | 🍲 Chakula | 🍹 Vinywaji | 🎭 Utamaduni
Jiunge nasi kupitia link kwenye Bio yetu.

πŸ“ Nafasi Art Space
πŸ—“οΈ Septemba 26–27 | ⏰ Saa 4 asubuhi hadi 4 usiku

#

Address

Nafasi Art Space, Eyasi Road, Mikocheni B, Light Industrial Area
Dar Es Salaam
14112

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Wikiendi LIVE posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category