Lugano Israel Mwakyeja

Lugano Israel Mwakyeja Lugano Israel,

HII PAGE IMEJIKITA KWENYE MAMBO YA MICHEZO NA MATUKIO YAKE

Chama cha makocha wa ngumi boxing waboresha katiba yao ilikuendana na katiba ya kamisheni ya ngumi za kulipwa nchini Tan...
12/04/2026

Chama cha makocha wa ngumi boxing waboresha katiba yao ilikuendana na katiba ya kamisheni ya ngumi za kulipwa nchini Tanzania (TPBRC).....
Mkutano huo ambao ambao umefanyika Nefaland hotel pia umeunda k**ati mbalimbali zakimkakati kwaajili ya kukuza heshima ya Chama cha ngumi za kulipwa ikiwemo k**ati ya nidhamu,K**ati ya ufundi,k**ati ya habari ,K**ati ya hamasa nk......

Akitaja k**ati hizo katibu wa Chama hicho Juma Mbogo amesema Chama hicho kimedhamiria kuleta mapinfuzi ya kimaendeleo kutoka kwenye mikakati ya Zamani na kukifanya Chama cha kisasa kwa kuendana na Kasi ya maendeleo na mabadiliko ya kimaisha lazima TPRCA iendane na Kasi hiyo.
Miongoni mwa mabadiliko ya katiba yalioungwa mkono na wanachama ni kuwa na mfuko wa Dharula.
.mbogo.7161

Mungu ni mwema hata sasaNaomba Mungu anipe hekima za ujana na niwe wamaana hata mpaka uzee wangu.Mhubiri 9:11 Nikarudi, ...
10/04/2026

Mungu ni mwema hata sasa
Naomba Mungu anipe hekima za ujana na niwe wamaana hata mpaka uzee wangu.

Mhubiri 9:11 Nikarudi, na kuona chini ya jua, ya kwamba si wenye mbio washindao katika michezo, wala si walio hodari washindao vitani, wala si wenye hekima wapatao chakula, wala si watu wa ufahamu wapatao mali, wala wenye ustadi wapatao upendeleo; lakini wakati na bahati huwapata wote.

K**a umelielewa neno hili sema kitu ulichoelewa au sema Amina

Cas kujibu point za Simba kutoka yanga ingia YouTube "Like Media".......Follow Instagram
31/03/2026

Cas kujibu point za Simba kutoka yanga ingia YouTube "Like Media".......

Follow Instagram

Nipo na semaji la Chama cha makocha Dauka Simba tunapiga stori na mastori     kubwa la watu unaongozana nao watasema wat...
26/03/2026

Nipo na semaji la Chama cha makocha Dauka Simba tunapiga stori na mastori
kubwa la watu unaongozana nao watasema watu wanaenda kule lakini
na mtu Mmoja anaenda sehemu watu watasema kunamtu anaenda sio kundi hii unaweza kuelewa

Sports Knock Out Mjini Fm Saa 6 mpaka 8 Mchana J3-IjumaaJumamosi Saa 4- 6 Mchana
25/03/2026

Sports Knock Out
Mjini Fm
Saa 6 mpaka 8 Mchana J3-Ijumaa

Jumamosi Saa 4- 6 Mchana

Christina Mwagala kaingiwa na huruma sana amemfuta machoni Ally Kamwe kwa kitambaa cha Simba(Vipi unanielewa?)......Hii ...
18/03/2026

Christina Mwagala kaingiwa na huruma sana amemfuta machoni Ally Kamwe kwa kitambaa cha Simba(Vipi unanielewa?)......Hii ni ishara ya kumpiga simba

Mwananchi kaamua kwenda kuua!! High pressing Ya Shehan,DUBE,Max,Abuya na pacome ni k**a moto mkali kuongeza na petrol......
18/03/2026

Mwananchi kaamua kwenda kuua!! High pressing Ya Shehan,DUBE,Max,Abuya na pacome ni k**a moto mkali kuongeza na petrol......

Sio rahisi kwa binadamu!! na sio ngumu kwa Mungu!! Wewe ni Bora ukijiona wewe kwenye mbele yenye Mungu!! Ila si kitu yen...
13/03/2026

Sio rahisi kwa binadamu!! na sio ngumu kwa Mungu!!
Wewe ni Bora ukijiona wewe kwenye mbele yenye Mungu!! Ila si kitu yenye mbele isio na Mungu muumba wa mbingu na vilivyomo duniani.
Happy Friday.......

ASANTE MUNGU KWA NENO LAKO!!AMEN!!.Isaya 60:11[11]Malango yako nayo yatakuwa wazi daima; Hayatafungwa mchana wala usiku;...
02/03/2026

ASANTE MUNGU KWA NENO LAKO!!
AMEN!!.

Isaya 60:11
[11]Malango yako nayo yatakuwa wazi daima;
Hayatafungwa mchana wala usiku;
Ili watu wapate kukuletea utajiri wa mataifa,
Na wafalme wao wakiongozwa pamoja nao.

Isaya 61:5
[5]Na wageni watasimama na kulisha makundi yenu, na watu wa kabila nyingine watakuwa wakulima wenu, na watunzaji wa mizabibu
yenu.

Isaya 60:1,11
[1]Ondoka, uangaze; kwa kuwa nuru yako imekuja,
Na utukufu wa BWANA umekuzukia.
Arise, shine; for thy light is come, and the glory of the LORD is risen upon thee.

Ebu elezea Kila goli lilikuaje!!Lipi lilikuwa goli bora?....
25/02/2026

Ebu elezea Kila goli lilikuaje!!
Lipi lilikuwa goli bora?....

Tanzania Prison imemtimua kocha Zedeckia Otieno. -Umejiuliza kwanini wamemtimua?......
25/02/2026

Tanzania Prison imemtimua kocha Zedeckia Otieno.
-Umejiuliza kwanini wamemtimua?......

Siku k**a yaleo!!
24/02/2026

Siku k**a yaleo!!

Address

P. O. BOX 71476
Dar Es Salaam
20200

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Lugano Israel Mwakyeja posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category