Michezo Duniani

Michezo Duniani habari za michezo na burudani kila siku follow me the Instagram

Duuuh🥺🥺🥺Huyu straika mbona k**a wamepigwa Hawa  United.
24/08/2025

Duuuh🥺🥺🥺

Huyu straika mbona k**a wamepigwa Hawa United.

24/08/2025
Ibenge apata ushindi wake wa kwanza tangu ajiunge timu ya Azam Football club k**a kocha mkuu wa kikosi hikoWin - 1Draw -...
24/08/2025

Ibenge apata ushindi wake wa kwanza tangu ajiunge timu ya Azam Football club k**a kocha mkuu wa kikosi hiko

Win - 1
Draw -1
Lose -1

CUTT OF THE ELECTRICITYAnaitwa Lucas Torro  huyu ndio kiungo anaenivutia zaidi kwasasa katika La Liga 🇪🇸 Ana Kila kitu a...
24/08/2025

CUTT OF THE ELECTRICITY

Anaitwa Lucas Torro huyu ndio kiungo anaenivutia zaidi kwasasa katika La Liga 🇪🇸
Ana Kila kitu ambacho anastahili kuwa nacho namba sita kwenye mpira wa miguu..
Ana umri wa Miaka 31 lakini k**a mtoto wa 2000 anavosaga.

24/08/2025

Kwa Club Atlético Osasuna – Nimetambuliwa sasa hivi k**a mmoja wa mashabiki wake bora!

Hivi wadau bei halisi ya hii kit ni 4,500 au 45,000?
24/08/2025

Hivi wadau bei halisi ya hii kit ni 4,500 au 45,000?

Duuuuh..!Unamuacha LADACK ChasambiUnamuacha  OFFEN ChikolaUnamuacha  Kelvin NashonaKwa timu Ile ya majungu  tume deserve...
23/08/2025

Duuuuh..!

Unamuacha LADACK Chasambi
Unamuacha OFFEN Chikola
Unamuacha Kelvin Nashona

Kwa timu Ile ya majungu tume deserve kuishia tulipoishia

Axel witsel akitambulishwa na Girona k**a mchezaji wao mpya
20/08/2025

Axel witsel akitambulishwa na Girona k**a mchezaji wao mpya

Hili   Forza Stars
20/08/2025

Hili

Forza Stars

Taarifa kwa Uma
20/08/2025

Taarifa kwa Uma

"Mimi Ninaona Damarro Mohammed Camara ndie alipaswa kuwa replacement ya Jinja Maestro na sio M***a"  junior Mchambuzi wa...
20/08/2025

"Mimi Ninaona Damarro Mohammed Camara ndie alipaswa kuwa replacement ya Jinja Maestro na sio M***a"

junior
Mchambuzi wa soka

Address

Magomeni
Dar Es Salaam

Telephone

+255692933456

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Michezo Duniani posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Michezo Duniani:

Share

Category