Shira Nawe sport

Shira Nawe sport Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Shira Nawe sport, Sports Event, Dar es Salaam.

Yaaaahhh....
07/10/2020

Yaaaahhh....

Leo
08/08/2020

Leo

03/06/2020

Jumatano hii ndani ya Sports Arena 🏟 ya tutakuwa na Mkurugenzi wa uwekezaji wa GSM Eng. Hersi Said ambaye atazungumzia masuala mbalimbali ikiwemo mabadiliko ndani ya Yanga,mikakati ya usajili wa nyota wazito wa kigeni watakaojiunga na Yanga msimu ujao wa ligi kuu bara 2020/21.
Pamoja na hayo utakuwa na nafasi ya kupiga simu na kumuuliza swali lolote na atakujibu papo hapo.
Ni kuanzia saa 2:30 asbh hadi saa 5:00 πŸ•” kupitia 88.9 na pia tutakuwa live kupitia YouTube channel yetu ya WASAFI MEDIA usikose.

Jumaatano
27/05/2020

Jumaatano

imeripotiwa Juventus wanampango wakutoa ofa ya 100M: kwa PSG ilikupat saini ya Neymar jr dirisha kubwa la usajiri ....  ...
26/05/2020

imeripotiwa Juventus wanampango wakutoa ofa ya 100M: kwa PSG ilikupat saini ya Neymar jr dirisha kubwa la usajiri .... Source:sport bc

Jumanne
26/05/2020

Jumanne

Top scorer German ....jee tanzani kuna mchezaji atafika hay magori
26/05/2020

Top scorer German ....jee tanzani kuna mchezaji atafika hay magori

Amesema hafisa habari wa yanga Hassan bumbuliπŸ”‰πŸ”‰πŸ”‰πŸ”‰leo wachezaji wot wa yanga watapimw afy na madaktar  wa timu kushilikia...
26/05/2020

Amesema hafisa habari wa yanga Hassan bumbuliπŸ”‰πŸ”‰πŸ”‰πŸ”‰leo wachezaji wot wa yanga watapimw afy na madaktar wa timu kushilikian na madaktar kutoka mwimbili na watakaa kikao ili kujadili watumie mashindan ya fA ilikuweza kushiriki mashindan ya kimataifa msim ujao. Na kikos cha yang kitakua chini ya koch Boniface mkwasa

Tayar amewasirii
25/05/2020

Tayar amewasirii

Amesema mwanyeto πŸ”ŠπŸ”ŠπŸ”ŠπŸ”ŠHataki kucheza klabu ya yanga inaaman kuna timu mwenyewe ameiyona ambayo anahisi akicheza atajisiki...
25/05/2020

Amesema mwanyeto πŸ”ŠπŸ”ŠπŸ”ŠπŸ”ŠHataki kucheza klabu ya yanga inaaman kuna timu mwenyewe ameiyona ambayo anahisi akicheza atajisikia furaha_______.....kutoka kwa uongozi wa COSTAL UNION. YA TANGA

Kauli ya hersi mkurugenz wa usajil GSMπŸ”ŠπŸ”Š yanga tutasajiri wachezaji   ambao nimapendekez ya kocha Lucy eymael nakam waki...
25/05/2020

Kauli ya hersi mkurugenz wa usajil GSMπŸ”ŠπŸ”Š yanga tutasajiri wachezaji ambao nimapendekez ya kocha Lucy eymael nakam wakishidw kufanya vizur basi kocha au mchezaji atakuw na kesi ya kujitetea

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Shira Nawe sport posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category