04/11/2021
Serikali ya Zanzibar imeialika Yanga sc.
- Kuelekea kutimiza mwaka mmoja wa Serikali ya Zanzibar, Serikali hiyo imeialika klabu ya Yanga sc kucheza mchezo wa kirafiki katika kuhanikiza hafla hizo.
- Mkuu wa kitengo cha habari Yanga sc Hassani Bumbuli amesema, leo kocha wa klabu ya Yanga sc ameahilisha mapumziko mafupi aliyoyatoa ili aanze maandalizi Kuelekea mchezo huo wa kirafiki.
- Nabi ameita kikosi (B) cha Yanga sc ambacho kinasimamiwa na Mkurugenzi wa ufundi wa vijana wa Yanga sc Mwinyi Zahera.
- Atachagua baadhi ya Wachezaji ambao atawajumuisha na kikosi cha Wachezaji wa kikosi cha wakubwa ambao hawajaitwa kwenye timu zao za taifa.
- Wachezaji ambao hawatahusika kwenye mchezo huo wa kirafiki ambao utachezwa November 12 - 2021, kutokana na kuitwa kwenye timu zao za taifa ni pamoja na ....
01. Djuma Shabani = Dr Congo 🇨🇩
02. Khalid Aucho = Uganda 🇺🇬
03. Djigui Diarra = Mali 🇲🇱
04. Yaccouba Songne = Burkinafaso 🇧🇫
05. Saido Ntibazonkiza = Burundi 🇧🇮
06. Feisal Salum = Tanzania 🇹🇿
07. Bakari Mwamnyeto = Tanzania 🇹🇿
08. Dickson Job = Tanzania 🇹🇿
09. Zawadi Mauya = Tanzania 🇹🇿
10. Kibwana Shomari = Tanzania 🇹🇿
11. Ramadhani Kabwili = Tanzania 🇹🇿
FOLLOW PAGE YA MICHEZO KWA TAARIFA BORA ZA MICHEZO INAYOITWA PUNDIT DOMSON