Yanga champions

Yanga champions Young sports club

20/02/2026

kijana mtanzania kutimkia ital under 17

08/02/2026
Rasmi Yanga Sc imemtambulisha Buba Jammeh k**a mchezaji wao mpya akitokea katika klabu ya Interclube ya nchini Angola. โœ...
31/01/2026

Rasmi Yanga Sc imemtambulisha Buba Jammeh k**a mchezaji wao mpya akitokea katika klabu ya Interclube ya nchini Angola. โœ๏ธ

15/01/2026

Wananchi๐Ÿ”ฐ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ
๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†


DEPรš ni Mwananchi๐Ÿ”ฐ
15/01/2026

DEPรš ni Mwananchi๐Ÿ”ฐ


Mwamuzi Boubou Traore kutoka Mali ameikosesha Taifa Stars fursa ya kupata bao la kusawazisha kupitia mkwaju wa penalti b...
04/01/2026

Mwamuzi Boubou Traore kutoka Mali ameikosesha Taifa Stars fursa ya kupata bao la kusawazisha kupitia mkwaju wa penalti baada ya 'kumeza filimbi' pale ilipobidi kutoa adhabu baada ya mshambuliaji wa Stars, Iddi Nado kusukumwa ndani ya 'box' la Morocco dakika za jioni kabisa wakati wenyeji hao wakiwa mbele 1-0.

Licha ya shinikizo kutoka kwa wachezaji na benchi la ufundi la Taifa Stars wakimtaka REFA huyo akaangalie tukio hilo kwenye VAR, lakini Mwamuzi 'Bubu' aliendelea kuwa bubu na kuendeleza mchezo huo uliomalizika kwa Stars kutolewa isivyo haki.

Tukio lile Duniani kote ni 'tuta' la wazi kabisa lakini Boubou Traore aliamua kulifumbia macho tena mbele ya Rais wa CAF, Patrice Motsepe na Rais wa FIFA, Gianni Infantino waliokuwepo katika dimba la Prince Moulay Abdellah mjini Rabat kushuhudia mtanange huo.

Shirikisho la soka Zambia () wamethibitisha kununua Bus jipya kwa ajili ya timu zao za Taifa,Bus hilo ni Iriza i6s lenye...
08/01/2025

Shirikisho la soka Zambia () wamethibitisha kununua Bus jipya kwa ajili ya timu zao za Taifa,

Bus hilo ni Iriza i6s lenye thamani ya dola za kimarekani 428,187 sawa na Shilingi za Kitanzania Bilioni Moja, kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwenye ukurasa wa Shirikisho la soka la Zambia wamewleza kuwa fedha zilizotumila kununua bus hilo zimetokana na matunda ya fedha kutoka FIFA za Mradi wa maendeleo.

Wanayanga wenzangu sisemi Mzize aondoke hapa yanga hapana ila kazi anayofanya na malipo anayopata ni vitu viwili tofauti...
08/01/2025

Wanayanga wenzangu sisemi Mzize aondoke hapa yanga hapana ila kazi anayofanya na malipo anayopata ni vitu viwili tofauti ebu angalia akina chama, azizi kii,wanapewa hela nyingi afu kazini ni sufuri au kwa vile mzize ni mzawa ndo maana mnamuonea ndio maana mimi ninasema maramia ya Fei Toto alivyofanya, Maana aliona anamweka benchi azizi kii lakini kwenye hela azizi kii anamuweka benchi Feisal mwisho wa Siku akaona bora kwenda k**a hamuoni thamani yake

Ukisikia Yanga inavyochambuliwa na ukija kwenye uhalisia inashangazaKwa mfano, Yanga inayopewa tahadhari sasa, Imecheza ...
30/10/2024

Ukisikia Yanga inavyochambuliwa na ukija kwenye uhalisia inashangaza

Kwa mfano, Yanga inayopewa tahadhari sasa, Imecheza michezo 13, ikiwa na cleansheets 12, ikifunga magoli 33 na kuruhusu bao moja tu (4-1 vs Azam). Katika michezo hiyo 13 kuna Derby tatu hapo

Yanga 1-0 Simba
Simba 0-1 Yanga
Azam 1-4 Yanga

Imagine hii timu imeshinda straight dhidi ya vigogo wa ligi hii wawili kwenye mechi tatu muhimu tena mmoja akiwa mwenyeji wa mchezo.

Ni Yanga hiyo hiyo ambayo imeshinda mechi 7 mfululuzo ya ligi bila kuruhusu bao. Wanaweza kuleta takwimu kwamba msimu uliopita tulianza vizuri. Ni kweli katika michezo 7 ya mwanzo msimu ulipita tulifunga magoli 20, msimu huu tumefunga magoli 12 magoli 8 pungufu.

Lakini msimu huo tulipoteza mchezo, 2-1 vs Ihefu, na tuliruhusu magoli matatu wakati msimu huu hatujaruhusu bao lolote. However msimu ule tulianza na mechi tano nyumbani kati ya 7 na michezo miwili ugenini (0-3 vs Geita na 2-1 vs Ihefu).

Msimu huu tumecheza mechi tatu tu nyumbani na nne ugenini. Kimsingi unapochambua lazima uzingatie matokeo kulingana na mazingira husika ya mchezo.

Licha ya ugumu wa mazingira bado Yanga ndio timu ambayo imetengeneza nafasi nyingi na kucheza soka la mipango zaidi

Kwa mfano: Yanga imepiga pasi 3049 (wastani wa pasi 435 kwa mechi) tukiwa na mechi 4 ugenini (viwanja visivyo rafiki), Makolo wana wastani wa pas 411 wakiwa na advantage ya kucheza mechi tano nyumbani.

Makolo ambao hawajadiliwi, wamecheza mechi tano nyumbani, bado tuna wazidi wastani wa pasi kwa mchezo.

Yanga leo tunaenda kucheza mechi ya tano ugenini. Yanga imecheza mechi 4 viwanja vigumu,, Bukoba, Arusha, Mbeya na Dar (ambayo hatukuwa wenyeji)

Ukirudi kwa Makolo wamecheza mechi 5 wakiwa wenyeji kwenye uwanja mzuri na bado tofauti yao ya magoli na sisi ni tofauti ya goli moja tu (Yanga 12, Makolo 13 na bado wana mchezo mmoja zaidi)

Katika mashuti 70 Yanga imepiga 40 imelenga goli, katika mashuti 95 ya Makolo mashuti 45 wamepiga nje.

Unazungumziaje kiwango cha pacome kwa hivi sasa?? ๐Ÿค”
03/10/2024

Unazungumziaje kiwango cha pacome kwa hivi sasa?? ๐Ÿค”

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Telephone

+255612740911

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Yanga champions posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Yanga champions:

Share

Category