20/04/2024
Reposted from Clouds Media inasikitika kutoa taarifa ya kifo cha Gardner G Habash, ambaye alikuwa mtangazaji wa kipindi cha Jahazi kilichotokea usiku wa kuamkia leo.
Taarifa zaidi kuhusu msiba zitatolewa baadae. Tunatoa pole kwa ndugu, jamaa, marafiki, wafanyakazi wenzake na mashabiki wa Captain G Habash. Bwana ametoa, Bwana ametwaa jina la Bwana lihimidiwe.
π