Yangascpowerfull

Yangascpowerfull Brand influencer sports
Always citizen🇹🇿💚
Wellcome Discus soccer💚🇹🇿

16/09/2026

Ukisikia yangasc inashinda nje ndani ndio hivi!!

16/09/2026
16/09/2026

Unasemaje wewe

Njoooni huku Gatende Juma Matwiga

Kuna Ahadi Leo kwa mama Doumbia Fetete Queenclassic

16/09/2026

Wasafi FM..
Shabiki wa Yanga “Jescar Manji” awatolea uvivu mashabiki wa Yanga ambao hawana imani na timu yao.

Wewe una maoni gani??

🎤 Gastor Godfrey

16/09/2026

Shabiki ni na ni?

Umewahi Jiuliza na influencer ni nani?

Mimi naomba tuwape Uhuru watu kutoa maoni Yao!

Imefika wakati sasa wengine wanaoneka sio ma shabiki hivi Leo ni Aibu kubwa kwetu!

Wengine wanaenda na njiwa
Wengine wanaenda na ungo na kupeta Mchele
Wengine wanajipaka rangi usoni"

Tuwaache watu wavae chohote kuipenda yangasc Yao na kutoa maoni Yao!

Itafika wakati watu watanyooshena vidole wewe hupaswi kutoa maoni! Utamaduni wa ushabiki ulikuwepo MDA ni nani anamjua Ali yangasc au Steve kulilia wamepita mengi tusiwasihaki watu na kuwananga yangasc ni ya wote ma shabiki sio utamaduni wa kuwaona influencer ndio wenye timu na ndio wana haki ya kuzungumza pekee!

Tuwaache naona wengi wakipinga Uhuru wa maoni
Wa huyu jamaa wengine wakidiriki kumdhihaki kisa kavaa Wigi! "

15/09/2026

Young Africans Sports Club..
Tumewasili uwanja wa mechi 🔰


Address

Mfipa Street
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Yangascpowerfull posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Yangascpowerfull:

Shortcuts

Share

Category