16/12/2025
Mimi naushauri binafsi hii ishu ya GNs na wasanii ni serious kabisa na watu hawatanii kabisa lakni piah hatuwezi kwenda hivi maisha yote ni ngumu,,, Nakaushauri kadogo k**a mkikapokea,,wasanii wote wangeungana akuna cha flan ana bifu wakiongozwa na pamoja na waite press iandaliwe promotion na media za bongo zote maana ata wao inawapain, Ipigwe show kubwa mapato yatakayopatikana yote warudishe Kwa jamii...hii itaenda kupunguza maumivu na kwakiasi chake..tusidanganyane Hali hii ni mbaya sana...