Bagamoyo Festival of Arts and Culture

Bagamoyo Festival of Arts and Culture Bagamoyo Festival of Arts and Culture is 7-day music, dance, drama, acrobatics etc. festival happening at the end of September every year at TaSUBa.

 πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ’―πŸ”₯✌️  🎀🎸πŸͺ˜πŸ₯πŸ’₯
23/10/2023

πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ’―πŸ”₯✌️
🎀🎸πŸͺ˜πŸ₯πŸ’₯

 πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ’―πŸ”₯✌️
11/07/2023

πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ’―πŸ”₯✌️

WITO KWA WASANII KUSHIRIKI TAMASHA LA 42 LA KIMATAIFA LA SANAA NA UTAMADUNI BAGAMOYOTaasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamo...
12/05/2023

WITO KWA WASANII KUSHIRIKI TAMASHA LA 42 LA KIMATAIFA LA SANAA NA UTAMADUNI BAGAMOYO

Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) inapenda kuwakaribisha wasanii na vikundi vya sanaa kwa ujumla kuomba kushiriki kwa kufanya maonesho katika Tamasha la 42 la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo litakalo fanyika katika viwanja vya TaSUBa – Bagamoyo kuanzia tarehe 26 hadi
28 Oktoba, 2023.

Tamasha hili limekuwa na malengo mbalimbali ikiwemo kuendeleza na kudumisha utamaduni wa Mtanzania, kubadilishana uzoefu na kujifunza kutoka kwa wasanii na vikundivya ndani na nje ya Tanzania kupitia warsha na maonesho mbalimbali.

Tamasha hili hujumuisha aina mbalimbali za sanaa k**a vile Ngoma, Maigizo, Muziki, Sarakasi, Mazingaombwe, Vichekesho, Filamu na maonesho ya sanaa za ufundi (Exhibitions).

TaSUBa inawakaribisha wasanii na vikundi vya sanaa kutoka sehemu mbalimbali za Tanzania na nje ya Tanzania ili kuweza kushiriki katika Tamasha hili kongwe la sanaa na utamaduni wa Mtanzania.

Kwa maelezo zaidi wasiliananasi kwa; Baruapepe:[email protected] au [email protected]
Tovuti: www.tasuba.ac.tz

Simu: +255 763 408 792, +255 655 840 405, na +255 713 756 168.

Address

Kaole Road
Bagamoyo

Opening Hours

Monday 07:30 - 15:30
Tuesday 07:30 - 15:30
Wednesday 07:30 - 15:30
Thursday 07:30 - 15:30
Friday 07:30 - 15:30

Telephone

+255232440032

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bagamoyo Festival of Arts and Culture posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Bagamoyo Festival of Arts and Culture:

Share

Category