Gosa Sports Management

Gosa Sports Management Karibu Bongobasketball tuweze Kushare habari za Mchezo wa Kikapu Tanzania na dunia nzima,share choch

Karibu Bongobasketball tuweze Kushare habari za Mchezo wa Kikapu Tanzania na dunia nzima kwa Ujumla,Tujuzane mengi Kuhusu Basketball,share chochote Ulichonacho Kuhusu Mchezo wa Kikapu TANZANIA na Duniani

Wasuda wapigwa na Kitu Kizito Kwa mkapa
10/09/2022

Wasuda wapigwa na Kitu Kizito Kwa mkapa

Je John John "Yes papaa" atatuokoa UGANDA?
31/08/2022

Je John John "Yes papaa" atatuokoa UGANDA?

Halaand Apiga hatrick Ya Pili EPL. ANABALAA HUYOOANABALAA HUYOO
31/08/2022

Halaand Apiga hatrick Ya Pili EPL.
ANABALAA HUYOO
ANABALAA HUYOO

Aziz Andambwile Malafyale Fundi wa Mpira...Zile Burudani Alizo wapa NYASA BIG BULLETS Kipindi Yupo BLANTYRE MALAWI akawa...
23/03/2022

Aziz Andambwile Malafyale Fundi wa Mpira...Zile Burudani Alizo wapa NYASA BIG BULLETS Kipindi Yupo BLANTYRE MALAWI akawaonjesha MBEYA CITY,,LEO Kaamua Kumwaga Saaaana Mauwa Dimbani.. Mchezaji Mzuri Haitaji Kugusa Mipira Miiiingi,,,Touch zake Mbili Tu Uwanja Mzima Tukatamani kila Mali Ikija Apewe Yeye Tuenjoy Soka...Janja NI FUNDI wa Mpira na Hazina Ya NCHI...Asante KIM kwa Kumuamini na hajakuangusha... Unajua BOLI Mwanangu Nakuona mbali

Hongera Sana
25/02/2022

Hongera Sana

Code Number 45Jana na Leo Anayoyafanya Akiwa Uwanjani K**a Angekuwa Mtu wenu wa Timu za Kariakoo Wachambuzi Mngemuimba U...
06/02/2022

Code Number 45
Jana na Leo
Anayoyafanya Akiwa Uwanjani K**a Angekuwa Mtu wenu wa Timu za Kariakoo Wachambuzi Mngemuimba USIKU NA MCHANA Mpaka Nyimbo Iwe Hitsong Ila Kwakuwa Mzawa Mnasubiri Awe mtovo wa Nidhamu ndio Mseme nae,,,Ooh "Wazawa Hawajitambui" mpeni HESHIMA yake Mapema Striker Wa Mpira,Hazina ya TAIFA ya Kujivunia kwa Sasa na Baadae.

KILA HATUA DUA Kiungo Wa Mpira.....
19/11/2021

KILA HATUA DUA Kiungo Wa Mpira.....

Kila la Kheri Stars
11/11/2021

Kila la Kheri Stars

Ramadhani "Fundi" Chombo "Redondo"Moja ya Mkongwe anaendelea Kuwaaminisha watu Ng'ombe Hazeeki Maini,na Pia Mpira K**a B...
30/10/2021

Ramadhani "Fundi" Chombo "Redondo"
Moja ya Mkongwe anaendelea Kuwaaminisha watu Ng'ombe Hazeeki Maini,na Pia Mpira K**a Baiskel Tu Ukishajua umejua..CHOMBO bado Anajua Saaana Tu..Falsa za Kuwaita "Wazee" ,"Wahuni" Ni Falsa Za Kutaka kuwatoa Mchezoni Wazawa Wengi wanaoujua Mpira,Ila Fundi wa Mpira Kakataa kusikiliza maneno Yao na Anaongea kwa Vitendo Kupitia Miguu yake...Endeleeni kuwaimba Wageni ambao Kwenu hawazeeki,kwenu sio Wahuni,wacha watoto wa Mtaani Tumuimbe Rasta mtu Peace ✌️ FUNDI WA MPIRA
.

Hongera TWIGA STARSTimu ya Taifa ya Wanawake TANZANIA Imefanikiwa kuchukua Ubingwa wa COSAFA WOMEN Championships iliyofa...
09/10/2021

Hongera TWIGA STARS

Timu ya Taifa ya Wanawake TANZANIA Imefanikiwa kuchukua Ubingwa wa COSAFA WOMEN Championships iliyofanyika Nchini SOUTHAFRICA Leo 09/10/2021.
Bao PEKEE La ENIKA lilitosha Kuwapatia Ubingwa stars Katika fainali Hiyo Dhidi ya Malawi

Kufuzu World Cup Pamoto πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯Mpira Na Matokeo Yake ya Kikatili
07/10/2021

Kufuzu World Cup Pamoto πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Mpira Na Matokeo Yake ya Kikatili

Address

P. O BOX 742
Arusha
255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Gosa Sports Management posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Gosa Sports Management:

Share

Category