Thamani yangu ni kuonyesha upendo isipokuwa kuwa unanidhalau haina shida hizi bhana
07/02/2017
The test put your heart in affection test for telling a man in the true will avoid the fraud will not true
03/07/2016
Dah katika maisha yangu sipend MWANAMKE ambae anapenda kunizalau wakat hakiwa na marafiki zake nilitokea kumpenda MWANAMKE mmoja ambae katika maisha yake nilitokea tyu kumuambia juu za hisia zangu dah kiukweli si zan k**a ananipenda hakuna kityu ambacho mm nakipenda katika mapenz ni kuthaminiana NA kupendana ila kwangu mm cjakiona cha ajabu kwa sababu mm mwenyew nishawah kuumizwa kiukwel mm ctotokea kumpenda MWANAMKE yoyote mpk moyo wangu
01/07/2016
I love my love
29/06/2016
Dah inaniuma saaanaaa paleee unapompenda mtyu ambae anakupenda pia lakin ktyu kimoja tyu ambacho kinaniumiza moyo wangu yaan toka alivyoingia katika moyo no nafasi chache tyu ambao inanifanya mpk nashindwa kuongea NAE kwanza kwao no geti kali NA pia mawasiliano hana dah naumia saaanaaa ila tyu ntabaki kumpenda tyu I love you
14/06/2016
Ni macho mazuriiii saaanaaa nikajitahidi mpk kufanikiwa
20/04/2016
💋Hadithi ya mapenzi👄
Nilitokea kumpenda mtu ambae hana kabisa muonekano wa kunipenda mm kila cku uwa ananiacha njia panda kila nikimuambia hisia zangu anaona namdanganya wakat moyo wangu umemchagua yy hawe wa maisha yangu tatizo moja tu kilq nikimuambia kwa nyingn ananiambia nimechelewa na cjui nifanyeje na moyo ushapenda nakumpenda yy cna jinsi ya kuzuiya moyo wangu lakin nilijipa imani kila cku nakunuomba Allah ili anijalie nimpate hata MWANAMKE bora kwangu dah naumia
27/12/2015
Nan amewah kuiskia nyimbo ya Eric mond mpya ya "kutapea" remix ya diamond mpya
17/12/2015
mapnz yangu yote yapo kwa ajili yako hasa kwann unakuwa unapenda kunitesa kesho upo na huyu kesho kwangu dah kwa namna hii naona bora niwe single love is pain pc
13/11/2015
nilikupenda toka mwanzo lakin kwa kuwa umenikataa ntaishi k**a mwanzo sijilazimish na mapenz wakat yupo ambae ananipenda kwa dhati ilove my love penda sana ww ntakulinda kokote uendako
27/07/2015
Jaman Ndg Zangu Demu Wangu Toka Nilivyompenda Aliondoka Kwao Lakin Cha Kushangaza Amempata Mwingne
Be the first to know and let us send you an email when LÔVÈ $ PÆÎÑ PÇ posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.