oldonyo lengai v marathon

oldonyo lengai v marathon OLADRUN ni kampuni inayojishughulisha na uandaaji wa mbio na utalii

10/07/2023
*🌙Nyakati tatu kwa siku katika mwezi wa Ramadhani uzihifadhi zisikupite kwa vyovyote vile usizilinganishe na thamani yoy...
23/03/2023

*🌙Nyakati tatu kwa siku katika mwezi wa Ramadhani uzihifadhi zisikupite kwa vyovyote vile usizilinganishe na thamani yoyote ile ya kidunia , nazo ni nyakati tatu kwa idadi ya siku za Ramadhani zinakua kwa Jumla nyakati (90) nazo ni k**a yafuatavyo:🌙*

1- 🎐Wakati wa kwanza ni wakati wa kufuturu, hakika andaa futari yako mapema na ujipe faragha kwa ajili ya dua, kwasababu mwenye kufunga wakati wa kufungua kwake ana Dua inayokubaliwa ambayo hairudi patupu, jiombee mwenyewe, wazazi wako, familia yako, vipenzi vyako, na waombee maiti wa kiislamu kwasababu wanahitaji kutoka kwako Dua.🎐

2- 🎐Ama wakati wa pili: Ni mwisho wa usiku jipe faragha uwe pamoja na Allah kwasababu yeye anaita akisema nani anaomba nimpe nani anataka msamaha nimsamehe, na uzidishe katika usiku huo kwa kumuomba Allah msamaha.🎐

3- 🎐Ama wakati wa tatu: Ni kukaa kwako baada ya swala ya Alfajiri katika mahali uliposwali ukifanya adhkar mpaka jua likachomoza kwasababu ibada hiyo na thawabu zake ni sawa na umra na hijja iliyo kamilika.🎐

🎐Hizi ni nyakati tisini, na uwe na pupa/juhudi na wakati mwingine uliobaki wote kwa kumtaja Allah, na ujiepushe na usengenyaji kwasababu unamaliza thawabu zako, na weka azma isikupite swala ya faradhi kwa wakati na uchukue fursa ya kutekeleza Swala za sunna, kwasababu ni siku thalathini, na niharaka iliyoje tukijikuta tunasema imeisha, Allahul Mustaan!🎐

*🎐Hata ukinuwia kueneza maneno haya nuwia kwa ajili ya khayr, huenda Allah akakufariji kwa mazito katika mazito ya Dunia na Akhera🎐*

*🎐Na kumbuka: fanya khayr hata ukaiona ndogo vipi kwasababu hujui jema gani litakuingiza peponi🎐*

*🌙 🏮RAMADHAN MUBAARAK*🌙 🏮

Baada ya zumaridi kwenda  mbiguni sasa ni zamu yangu next Interview na millardayo ……
17/03/2023

Baada ya zumaridi kwenda mbiguni sasa ni zamu yangu next Interview na millardayo ……

Happiness is the best therapy 🌷👌🏾🥰🫧✨
14/03/2023

Happiness is the best therapy 🌷👌🏾🥰🫧✨

Address

Sekei
Arusha

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when oldonyo lengai v marathon posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to oldonyo lengai v marathon:

Share

Category