25/08/2019
Kwa Muda Mrefu Nimekuwa na Hamu ya Kuikata Kiu Kwa Mashabiki na Wadau wanaopenda Muziki Mzuri wa Bongo Fleva
Leo Nakuandaa Kaa Tayari Kupokea Ujio wa Ngoma Yangu ya Kwanza Kabisa Ambayo Nimeiandaa Maalum Kwa Mashabiki zangu, Ngoma Ambayo Itafungua Milango ya Kudondosha Mawe zaidi Nikiwa Nimeshirikiana na Mastaa Tofauti Barani Africa Zikiwa na Miondoko (Tune) Tofauti
Hii Inaitwa na Nimeifanya na Ngoma Ambayo Tumeifanya Katika Studio za na Inahusu zaidi Muziki wa Kucheza na Kujiachia Kwenye Party Tofauti
Graphix By
#