SOKA Updates

SOKA Updates Tetesi na habari mbali mbali kuhusu mpira wa miguu

KOCHA YANGA ATIMULIWA
06/05/2026

KOCHA YANGA ATIMULIWA

15/04/2026

MATOKEO UEFA CHAMPIONS LEAGUE JANA

FT: ATLETICO MADRID 1-2 BARCELONA SC (3-2 ON AGGREGATE)

FT: LIVERPOOL 0-2 PSG(0-4 AGGREGATE)

RATIBA YA LEO: UEFA CHAMPIONS LEAGUE

ARSENAL VS SPORTING LISBON

BAYERN MUNCHEN VS REAL MADRID

Burkina Faso wanajenga Uwanja ambao unafanana kila kitu na Uwanja wa Amani Complex Zanzibar. Uwanja wao unatarajiwa kuka...
06/02/2026

Burkina Faso wanajenga Uwanja ambao unafanana kila kitu na Uwanja wa Amani Complex Zanzibar. Uwanja wao unatarajiwa kukamilika mwezi wa nne mwaka huu

FOUNTAIN GATE WAHAMIA ARUSHA, WAIKACHA MANYARA
06/02/2026

FOUNTAIN GATE WAHAMIA ARUSHA, WAIKACHA MANYARA

EXCLUSIVE: Edwin Balua anaelekea Saudi Arabia ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฆMakubaliano yamefikiwa na masharti binafsi yamekubaliwa kikamilifu. โœ…Sim...
03/01/2026

EXCLUSIVE: Edwin Balua anaelekea Saudi Arabia ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฆ
Makubaliano yamefikiwa na masharti binafsi yamekubaliwa kikamilifu. โœ…
Simba SC wamekubali ofa ya mkopo kutoka klabu ya Al-Entesar.
Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 22 anatarajiwa kusafiri kwenda Saudi Arabia Jumanne ili kukamilisha taratibu na kutambulishwa rasmi. Ukurasa mpya umefunguliwa kwa mmoja ya washambuliaji vijana wanaosisimua zaidi barani Afrika. ๐ŸŒโšฝ


Sudan wamefanikiwa kufuzu kwenda Hatua ya 16 Bora bila kufunga hata bao moja lililofungwa na mchezaji wao.Ushindi wao pe...
01/01/2026

Sudan wamefanikiwa kufuzu kwenda Hatua ya 16 Bora bila kufunga hata bao moja lililofungwa na mchezaji wao.
Ushindi wao pekee ulikuwa dhidi ya Equatorial Guinea, na ulipatikana kupitia bao la kujifunga.
Urithi wa soka Afrika. Uchawi wa AFCON. Chochote kinaweza kutokea. โšฝโœจ

DRAW YA AFCON Raundi ya  16 Bora๐Ÿšจ Hatua ya mtoano 16 Bora iko tayari, kosa moja tu umeaga mashindano.๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ Morocco ๐Ÿ†š Tanzan...
01/01/2026

DRAW YA AFCON Raundi ya 16 Bora๐Ÿšจ

Hatua ya mtoano 16 Bora iko tayari, kosa moja tu umeaga mashindano.

๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ Morocco ๐Ÿ†š Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฑ Mali ๐Ÿ†š Tunisia ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ณ

๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฟ Algeria ๐Ÿ†š DR Congo ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ

๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ Egypt ๐Ÿ†š Benin ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฏ

๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ณ Senegal ๐Ÿ†š Sudan ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฉ

๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฌ Nigeria ๐Ÿ†š Mozambique ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฟ

๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ Cรดte dโ€™Ivoire ๐Ÿ†š Burkina Faso ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ซ

๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ South Africa ๐Ÿ†š Cameroon ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฒ

Je, Stars itaweza kuukwaa mfupa mgumu wa Morocco? Toa maoni yako ๐Ÿ”ฅ


Big thanks to Jackson J. Luhwejafor all of your support! Congrats for being top fans on a streak ๐Ÿ”ฅ!
01/01/2026

Big thanks to Jackson J. Luhweja

for all of your support! Congrats for being top fans on a streak ๐Ÿ”ฅ!

  MATOKEO โšฝ FT: JKT Tanzania 0-0 Yanga SC. FT: KMC 2-0 Singida BS
10/02/2025

MATOKEO โšฝ

FT: JKT Tanzania 0-0 Yanga SC.

FT: KMC 2-0 Singida BS




Big shout out to my newest top fans! ๐Ÿ’Ž Jackson J. LuhwejaDrop a comment to welcome them to our community,  fans
10/11/2024

Big shout out to my newest top fans! ๐Ÿ’Ž Jackson J. Luhweja

Drop a comment to welcome them to our community, fans

Address

Arusha
553

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when SOKA Updates posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category